Picha: Lowassa ahani msiba wa Peter Kisumo

Picha: Lowassa ahani msiba wa Peter Kisumo

Utu ni kitu kizuri sana hata kama wewe ni mzima hapo ulipo mshukuru Mungu kwa uzima wako na jua mdomo huumba kuna siku wewe mwenyewe au mzazi wako au ndugu yako wa karibu atapatwa na janga kama hilo sijui utamkimbia au utakuja kwenye mitandao kumuanika kama unavyofanya hapa
Hakuna aombaye ugonjwa wala hakuna mwenye guarantee na maisha yake kuwa atakuwa mzima mpaka siku ya kufa kwake
Ila unapomnyooshea mwenzako kidole kimoja jua viko vinne vinarudi kwako kukuhukumu

Ngoja nikwambie wewe mimi nikifikia mahali ambapo naumwa mpaka najinyea siwezi kutumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kwamba mimi ni mzima bali nitakubali kuwa mimi ni mgonjwa na kutulia nyumbani kujiuguza mpaka siku ya mwisho!
 
Hilo ni la kijani kwani hamjui Kuna watu addicted with drugs...., mleta Mada ni addicted with colour
 
Ngoja nikwambie wewe mimi nikifikia mahali ambapo naumwa mpaka najinyea siwezi kutumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kwamba mimi ni mzima bali nitakubali kuwa mimi ni mgonjwa na kutulia nyumbani kujiuguza mpaka siku ya mwisho!

Mshukuru Mungu kwa afya uliyo nayo na wala usiringe kuwa ni kwa nguvu zako wala kwa chochote ulicho nacho na wala usimdharau mtu yoyote ambaye ana madhaifu au magonjwa yake hakupenda kuwa hivyo na kama unamuhesabu kuw ani mgonjwa mwache Mungu achukue maamuzi yake usimhukumu wewe
 
Katika hali isiyotegemewa Leo mh Lowasa ameenda Mwanga kuhani msiba wa kada wa ccm mh peter kisumo akiwa rasmi kwenye sare ya Ccm yaani shati la kijani. Usisahau kwenu Lowasa ni dhahiri baada matokeo ya uchaguzi kuonesha umeshindwa utarudi nyumbani ccm.

Hizi akili zinafanana na za yule Katibu mkuu wenu. Nadhani ulimsikia leo. Utadhani mmemteua leo hii kutoka Hargaesa!!! Hivi kumbe aliye uwa viwanda Arusha ni CHADEMA?
 
Katika hali isiyotegemewa Leo mh Lowasa ameenda Mwanga kuhani msiba wa kada wa ccm mh peter kisumo akiwa rasmi kwenye sare ya Ccm yaani shati la kijani. Usisahau kwenu Lowasa ni dhahiri baada matokeo ya uchaguzi kuonesha umeshindwa utarudi nyumbani ccm.
Hivi kila rangi ya kijani ni CCM?
 
Unajua kuhani msiba sio kesi alafu ukizingatia kisumo ni wa muda mrefu duniani,wanafahamiana vilivyo sasa mambo ya msingi unaleta siasa zako uchwara
 
Wewe barbaroda futs hilo neno la kijinyea ni la uwongo; je ukiitwa mahakamani una ushahidi; maneno machafu ya kumdhalilisha lowassa; yamepandikizwa tu. Ciku wanakukamata utaisaidia polisi, wewe endelea tu na limdomo lako lililokosa staha wala hekima.
 
Mshukuru Mungu kwa afya uliyo nayo na wala usiringe kuwa ni kwa nguvu zako wala kwa chochote ulicho nacho na wala usimdharau mtu yoyote ambaye ana madhaifu au magonjwa yake hakupenda kuwa hivyo na kama unamuhesabu kuw ani mgonjwa mwache Mungu achukue maamuzi yake usimhukumu wewe

Kwa fisadi Lowasa na Genge lake sheria na Kanuni zote za kiutu na Kibinadamu hazitumiki, hivyo ni ruksa hata Mungu anajua, na bado Pigo kubwa na takatifu linakuja. Ongeza Kingine!
 
Siasa za kinafiki mbaya sana kashindwa kwenda kumzika Mohamedi Mtoi wala kuhani unakwenda kuuza sura kwenye misiba ya watu maarufu.
 
Last edited by a moderator:
Acheni kukuza mambo. Kama Lowassa angekwenda kimya kimya hivi kwenye msiba sidhani kama angekataliwa. Tatizo alitaka kuvamia msiba na msururu wa bodaboda na lundo la masapota wake ka vile anakwenda kwenye kampeni. Ni vizuri alidhibitiwa na msiba kuendelea bila bugudha. Alichofanya leo ni ustaarabu aliopaswa kufanya hapo awali.
 
Kwa fisadi Lowasa na Genge lake sheria na Kanuni zote za kiutu na Kibinadamu hazitumiki, hivyo ni ruksa hata Mungu anajua, na bado Pigo kubwa na takatifu linakuja. Ongeza Kingine!

We gamba unasumbuka sana
 
Omba Mungu akupe busara na hekima. Hivyo huwa havipatikani darasani.

Kwa fisadi Lowasa na Genge lake kanuni na sheria zote hazitumiki, hivyo chochote kinaruhusiwa na Mungu ameruhusu hilo!
 
Shati la blue la kawaida anayesema kavaa kisisiem maana yaake Ni ninii?? Jamani Amaa kweli.siku ya kufaa nyani miti yote hutelezaa.
 
Amekufa mgombea ubunge wa Ukawa Lowassa alikuwa anaendelea na kampeni mpaka leo hakwenda kuhani na alikuwa Tanga, juzi tu.

Unafiki kitu kibaya sana.
 
Back
Top Bottom