EMANUEL LUKWARO
Member
- Aug 20, 2015
- 24
- 30
Leo kapiga mkutano Wapi?
Leo alikuwa Same, ambapo alipiga mikutano mitatu, Hedaru, Ndungu na Same mjini, badae jioni alielekea mwanga ambapo alihitimisha kwa mkutano mmoja.
Leo kapiga mkutano Wapi?
Mshukuru Mungu kwa afya uliyo nayo na wala usiringe kuwa ni kwa nguvu zako wala kwa chochote ulicho nacho na wala usimdharau mtu yoyote ambaye ana madhaifu au magonjwa yake hakupenda kuwa hivyo na kama unamuhesabu kuw ani mgonjwa mwache Mungu achukue maamuzi yake usimhukumu wewe
Kwa fisadi Lowasa na Genge lake kanuni na sheria zote hazitumiki, hivyo chochote kinaruhusiwa na Mungu ameruhusu hilo!
#
Wala usikonde Mahakama ya Mafisadi inakuja na siyo mbali kama alivyoahidi
Raisi wa V wa JMTZ Dr.Pombe Magufuli!
Umeanza lini kuwa na uchungu na mtoi wewe mnafiki ?Ndiyo kama alikwenda ,weka picha.Kwanza hata kwenye mazishi ya Mtoi hakwenda,kweli Lowasa anapenda matajiri tu ,Rais wa matajiri huyu kamwe hatashinda
Ngoja nikwambie wewe mimi nikifikia mahali ambapo naumwa mpaka najinyea siwezi kutumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kwamba mimi ni mzima bali nitakubali kuwa mimi ni mgonjwa na kutulia nyumbani kujiuguza mpaka siku ya mwisho!
Hizi akili zinafanana na za yule Katibu mkuu wenu. Nadhani ulimsikia leo. Utadhani mmemteua leo hii kutoka Hargaesa!!! Hivi kumbe aliye uwa viwanda Arusha ni CHADEMA?
Siasa za kinafiki mbaya sana kashindwa kwenda kumzika Mohamedi Mtoi wala kuhani unakwenda kuuza sura kwenye misiba ya watu maarufu.
Leo alikuwa Same, ambapo alipiga mikutano mitatu, Hedaru, Ndungu na Same mjini, badae jioni alielekea mwanga ambapo alihitimisha kwa mkutano mmoja.
Lowassa atakuwa raisi wa mioyo ya watu. Nyerere wa pili