seniorgeek
JF-Expert Member
- Sep 18, 2008
- 500
- 128
Ameenda kukagua ama kupiga nayo picha? kwani Lema ana utaalaamu wowote kuhusu helcopter?
jibu swali wekeni siasa pembeni
CDM ni hodari kwa kupeana ULAJI kikanda, kwa nini kila penye harufu ya pesa awekwe mtu wa Kaskazini???? Lema kila siku yuko safarini na kufaidi RUZUKU!!
Usikwepe hoja yako ya msingi Ritz,
Umesema Lema kapiga picha na Chopa kisha kawatumia wafuasi wake. Nikakuuliza ulitaka ampelekee Nape Nnaye na Mkama? Badala ya kujibu hoja unakuja Chopa imepigwa Rangi. Hoja ya Rangi itakuja baadaye, nakuuliza ulitaka ampelekee nani picha aliyopiga akiangalia Chopa?
Hiyo chopper mbona kama mbovu?
Halafu jamaa ki fridge kinakuja fasta kinoma.
Akumbuke tu ametoka wapi na kina nani wamemtoa.
Kitambi kwa mwanaapollo hakikubaliki!!!!
Hivi viwanja vya michezo kama CCM kirumba na Sheikh armi abeid Arusha unajua vimejengwa kwa kodiMP Aweda,
Kwa nini msiyafanye haya kwa pesa zenu wenyewe wanachama wa vyama hivi? Kwa nini vyama vya SIASA vipewe RUZUKU inayotokana na kodi zetu ambazo baadhi yetu sio wanachama wa vyama hivi? Igeni mfano wa DINI zetu zinavyojiendesha kwa kutumia ZAKA na SADAKA za waumini wao. Huduma za jamii zinazidi kudorora kwa sababu ya kugharamia SIASA na wanaSIASA. Haohao tunaowagharamia bado wanatugharimu zaidi kwa ufisadi, rushwa, ubadhirifu,...
tunataka mabadiliko yenye tija,hivo hatuwezi kuwatenga wa tz walio nje ya nchi, lema ni jembe,tunamkubali ni mtu makini asiyeogopa vitisho,ni mtu jasiri,ni mtu wa kuigwa kwa kujenga hoja makini, naamini kwa mnaopenda mabadiliko mtaniunga mkono,mtu makini hufanya vitu vilivyo makini. Big up godbles lema god bless u kama jina lako.
CDM hayo ni matumizi mabaya ya ruzuku, badala ya kuimarisha ofisi zenu vijijini mnatumia mapesa mengi kununua chopa. Watanzania hawataki chopa , wao wanataka sera mbadala ambazo ni suluhisho la matatizo yao
mbona kama hii chopa ina itirafu katika propeller la upande wa pili? Yasije kutokea ya late john garang..
Tunaitofautishaje CHADEMA na CCM endapo yale wanayofanya yanafanana? Kumbuka pia wakati viwanja hivi vinajengwa chama cha SIASA kilikuwa kimoja tu na hali ya huduma zetu za jamii haikuwa hivi ilivyo sasa.Hivi viwanja vya michezo kama CCM kirumba na Sheikh armi abeid Arusha unajua vimejengwa kwa kodi
ya nani?
unataka apige na beckham au boys two men kama yule jamaa anayeanguka kwenye majukwaa?
MP Aweda,
Kwa nini msiyafanye haya kwa pesa zenu wenyewe wanachama wa vyama hivi? Kwa nini vyama vya SIASA vipewe RUZUKU inayotokana na kodi zetu ambazo baadhi yetu sio wanachama wa vyama hivi? Igeni mfano wa DINI zetu zinavyojiendesha kwa kutumia ZAKA na SADAKA za waumini wao. Huduma za jamii zinazidi kudorora kwa sababu ya kugharamia SIASA na wanaSIASA. Haohao tunaowagharamia bado wanatugharimu zaidi kwa ufisadi, rushwa, ubadhirifu,...
Hoja gani unataka wewe hiyo Chopa ipo kwenye chumba cha rangi nyie mnasema mpya sasa tusijadil unataka kuniziba mdomo..
Hiyo Chopa ndio Lema kapewa na Meya wa London.
Ingekuwa bora kama angezipeleka kwa wana familia yake.
Najua CCM wanachota zaidi ya milioni 600; CHADEMA wanachota zaidi ya milioni 120; CUF zaidi milioni 100;..., kila mwezi! Ni haki?Una wazo zuri, lakini ni vyema ukakumbuka kuwa sheria ya ruzuku ilitungwa na bunge. CCM ndo inapata ruzuku kubwa kuliko chama chochote cha siasa hapa nchini na wanafaidi rasilimali nyingi zilizokuwa za wananchi enzi za chama kimoja. Ili kufanya siasa kwa mlingano, ni vizuri ruzuku ikaendelea kutolewa kwa vyama lakini ni vyema vyama hivyo vikakaguliwa matumizi ya fedha hizo.
CHADEMA wamejitahidi kutumia vizuri ruzuku katika kuwafikia wananchi wengi maeneo ya vijijini.
Hiyo Chopa ndio kapewa na Meya wa London?