PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C

JK atajinyonga mwaka huu

Kujinyonga hawezi ila wataingiza zengwe. Itapigwa kodi ya kununulia Chopa nyingine tatu au nne. Kwani mmewasahau CCM kwa kutumia vibaya public offices?, Kitilya anapelekewa memo kama alivyopelekewa Jaji Rwakibalila
 
ZS-RLE+Eurocopter+AS350B2.jpg

[h=1]Eurocopter AS350[/h]
15566-URS2.jpg

Price Up to $2,000,000.00 for Brand new

otherwise mtumba
1990 EUROCOPTER AS 350BA2835US $695,000CA
For Sale - $695,000, N5804T; 8694 TT; VFR; 6 Seats; 1990 Eurocopter AS350-BA. Great Condition, Air Conditioning;
Corporate Helicopters
Phone: (858)505-5650
Fax: (858)874-3038
Details & Photo(s)
Send A Message
Add To Aircraft Of Interest
Share On
Updated: 7/11/2012 1:25:00 PM

Performance

Lema bana ana mambo ya kizamani anapiga picha na Chopa harafu anawatumia wafuasi wake..
Sasa wewe ulitaka apige picha halafu amplekee nani? Au ulidhani ni busara zaidi kuwapelekea Nape Nnauye na Mukama wa CCM? Na ili iweje? Siyo lazima uandike Bwana Ritz kama huna hoja.
 
Watanzania tukulipe nini Ee Mungu mfalme kwa wema wako unaotendea watu wako? Ee Baba hakuna cha kukulipa kwani wewe ni alfa na Omega.Tunachoweza kusema tu ee Baba ni AHSANTE!
 
Sasa wewe ulitaka apige picha halafu amplekee nani? Au ulidhani ni busara zaidi kuwapelekea Nape Nnauye na Mukama wa CCM? Na ili iweje? Siyo lazima uandike Bwana Ritz kama huna hoja.

Hoja gani unataka wewe hiyo Chopa ipo kwenye chumba cha rangi nyie mnasema mpya sasa tusijadil unataka kuniziba mdomo..

Hiyo Chopa ndio Lema kapewa na Meya wa London.
 
Hoja gani unataka wewe hiyo Chopa ipo kwenye chumba cha rangi nyie mnasema mpya sasa tusijadil unataka kuniziba mdomo..

Hiyo Chopa ndio Lema kapewa na Meya wa London.

Nyie na FEZA zenu za Kifisadi sisi na MUNGU WETU
 
Lema bana ana mambo ya kizamani anapiga picha na Chopa harafu anawatumia wafuasi wake..

Heri ya Lema anapiga picha na kitendea kazi chake kuliko yule mkuu wetu anaepiga picha na wasanii kana kwamba nae anataka kuwa mwimbaji na muigizaji
 
Kodi zetu zinatumika hivi huku watoto wetu wakikosa madawati, madarasa, vyoo, vitabu,..., walimu wao wakidai mishahara zaidi wanaambiwa hakuna hela. Madaktari wanakandamizwa kiaina, hakuna maji ya kunywa mijini na vijijini, barabara vijijini hazipitiki,..., tuendelee tu kugharamia SIASA kama mazuzu huku tukiwashangilia akina Lema na machopa yatakayoendeshwa kwa ruzuku yetu!
 
Back
Top Bottom