Sasa wilcard,MP Aweda,
Kwa nini msiyafanye haya kwa pesa zenu wenyewe wanachama wa vyama hivi? Kwa nini vyama vya SIASA vipewe RUZUKU inayotokana na kodi zetu ambazo baadhi yetu sio wanachama wa vyama hivi? Igeni mfano wa DINI zetu zinavyojiendesha kwa kutumia ZAKA na SADAKA za waumini wao. Huduma za jamii zinazidi kudorora kwa sababu ya kugharamia SIASA na wanaSIASA. Haohao tunaowagharamia bado wanatugharimu zaidi kwa ufisadi, rushwa, ubadhirifu,...
kumbe mpya hazinaga rangi!
Najua CCM wanachota zaidi ya milioni 600; CHADEMA wanachota zaidi ya milioni 120; CUF zaidi milioni 100;..., kila mwezi! Ni haki?
Sasa wilcard,
Kama hoja ni kwanini vyama vya siasa vipewe Ruzuku hiyo ni hoja nyinginge kabisa na ni mjadala tofauti. Ila kwa sasa, as long as Ruzuku inatolewa kwa vyama vya siasa, Chadema wako sahihi kutumia Ruzuku kufanyia cho chote wanachoona kwa mujibu katiba yao, kanuni na makubaliano ya vikao husika. Na hawajavunja sheria yo yote wala katiba ya nchi. Hata hivyo, kukagua siyo uamuzi rasmi wa kununua, it could be eye shoping.
Hili la RUZUKU nimelisema sana humu ikiwa ni pamoja na kuwaambia baadhi ya Wabunge niliowahi kutana nao humu na huko nje. Hakuna aliyenisikiliza. Wananufaika nalo na vyama vyao. Nilidhani CHADEMA wangenisikiliza angalau wakaisema Bungeni kama Zitto alivyoiongelea posho ya vikao.Sasa wilcard,
Kama hoja ni kwanini vyama vya siasa vipewe Ruzuku hiyo ni hoja nyinginge kabisa na ni mjadala tofauti. Ila kwa sasa, as long as Ruzuku inatolewa kwa vyama vya siasa, Chadema wako sahihi kutumia Ruzuku kufanyia cho chote wanachoona kwa mujibu katiba yao, kanuni na makubaliano ya vikao husika. Na hawajavunja sheria yo yote wala katiba ya nchi. Hata hivyo, kukagua siyo uamuzi rasmi wa kununua, it could be eye shoping.
Kwa hiyo, kama hoja ni kwanini vyama vipewe ruzuku, tusihusishe na Chopa inayokaguliwa na Lema huko London, kwa sababu hakuna anayejua zaidi ya mil kati ya 600( 800?) za ccm zinatumika kufanya nini? Na kwa maoni yangu, Ruzuku ikifutwa ccm ndio itakuwa ya kwanza kufa. Sisi tumeshazoea kuchangishana huku mitaani kwetu, ccm wamezoea kupewa fedha tangu enzi ya chama kimoja.
natamani yawe machopa kama 20 hivi kabla ya 2015
Namna nzuri kabisa ya kuiondoa CCM madarakani ni kuifuta RUZUKU. Ruzuku hii ikiondolewa hata kesho, CCM itakufa ndani ya mwezi mmoja tu na NCHI itakuwa imekombolewa na madhila haya tuliomo sasa. Kutegemea sanduku la kura hata baada ya KATIBA mpya kuna kazi nzito.Kwa hiyo, kama hoja ni kwanini vyama vipewe ruzuku, tusihusishe na Chopa inayokaguliwa na Lema huko London, kwa sababu hakuna anayejua zaidi ya mil kati ya 600( 800?) za ccm zinatumika kufanya nini? Na kwa maoni yangu, Ruzuku ikifutwa ccm ndio itakuwa ya kwanza kufa. Sisi tumeshazoea kuchangishana huku mitaani kwetu, ccm wamezoea kupewa fedha tangu enzi ya chama kimoja.
aibu sana kwa mtu mzima kwenda kuuza sura kwa style hii.
Ww umefika wapi?
Lema bana ana mambo ya kizamani anapiga picha na Chopa harafu anawatumia wafuasi wake..