PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C

Hii sredi bana, safari na muziki. Naona vijana wa TCA wapo hapa kibao..... Raha tupu haki ya nani :)

funny-moment-in-india.jpg
 
watu badala ya kujadili namna ya kujenga chama, wao wanajadili chopa, isijekuwa ni magamba hao
 
Hii sredi bana, safari na muziki. Naona vijana wa TCA wapo hapa kibao..... Raha tupu haki ya nani :)

funny-moment-in-india.jpg

Hahahaha! Watu tuna mambo muhimu ya kujadili wengine wanataka kujua idadi ya chopa.

Ngoja mafundi mchundo tuendelee kufanya fitting and turning LOL
 
Kwa hiyo wadau, mnamaanisha kuwa mtoa mada ameingia choo cha kike au?

Heheheheh! Kaingia choo cha kike akasahau kuchuchumaa wakati anajojoa. Si unajua choo cha kike hata gays hakiwahusu? Kile ni kwa ajili ya K tu.
 
Huyu mleta uzi inawezekana kweli kakosea ila njia iliyotumika kumkosoa ndio inaweza ikawa mtindo hapa jf hata kwa hoja zenye umuhimu.

Leo tumeanza na huyu kesho mwanaccm atamjibu kwa stahili hiyo hiyo mwanachadema bila kujali uzi aliouanzisha umekaaje.

Tuwe makini tutaharibu jukwaa ni bora hata kumwambia huu uzi hauna tija.

Ni bora hata kumwambia uzi wako hauna maana au kukaa kimya.

Members wenzangu wa jf tusiendeleze hii tabia tutaharibu kabisa maana ya mijadala hapa jf.
 
We unaongea nini? au huko CCM mmezoea kila m2 anayepiga picha anauza sura. mwaka huu CCM hamna rangi mtakosa kuona kamanda Lema big up!
 
duuuh! Chadema bwana inanipa raha sana. Je vp hlo chopa chama kimegharamia au 2mepewa msaada na wafuasi wa chadema uingereza?
 
Back
Top Bottom