Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi, magari mangapi yamekodiwa kuleta watu, shule ngapi zimefungwa, wanafunzi wamelazimishwa kuhudhuria huo mkutano. Wasanii wangapi walikuwepo kuburudisha na mapipa mangapi ya ubwabwa yamepikwa kuwalisha hao watu. "Usione vyaelea, vimeumbwa"
Hakika rais wetu Kikwete atakumbukwa kwa utendaji wake uliotukuka, tuombe Mungu azidi kutujaza hekima ya kuweza kupata viongozi wenye utashi kama wa JK.
Kwaiyo kwa kuanzia Anna Tibaijuka ndio alimpa nafasi?! Masikini Salma!
Mkuu hii habari ya JK kulala kwa Tiba ni ya kweli?
WanaBukoba wamechangishwa Shs 1000 kwa ziara ya Rais. Je unajua kwa maisha ya kijijini Shs 1000 ni kiasi kikubwa sana? Imagine kama ingekuwa wewe, ungefurai kuibiwa pesa zako kukodia magari? I don't really like CDM per se, but nakubaliana na mambo yao mengiHivi wale wanaokwenda mikutano ya chadema wote huenda kwa miguu
Kama mnao mashabiki wengi namna hiyo, mbona mnaiba kura? Wote hao walienda kumuaga Rais wa CCM, 2015 ni upinzani
who knows? CCM wananweza badilisha katiba, just kwa JK aongoze miaka mingine mingiKweli wanamuaga kwasbb hatagombea tena.
hata mie nimeyasikia hayo. Tunahitaji majibu kwa kweli.Ni kweli JK alilala kwa Anna Tibaijuka badala ya ikulu ndogo?
Kakosea nini? JK hana makuu - kwani akichanganyika na wenyeji akajua tamaduni zao atakuwa amekosea NINI?Ni kweli JK alilala kwa Anna Tibaijuka badala ya ikulu ndogo?
Haijarishi lakini cha moto mtakipata,hapo kwenye picha hizo umeona msanii anaimba mnajifanya mnamakengeza hamuoni vizuri mtaona tu.
Mkuu mbona hii ni kawaida sana - hata utawala wa Kambarage wakati tuko shule ya msingi mbona tulikuwa tunakwenda kumpokea RAIS akija mkoani Kagera. Hivi JK ni RAIS wa TANZANIA/TAIFA au wa CCM - Jibu unalo mkuu Kalyankerere/mashasha!Kila wilaya za mkoa wa KAGERA alikoenda JK, wakurugenzi wa wilaya waliwarazimisha wakuu wa shule kufunga shule na wanafunz wote waende kumpokea rais, shule zote zinafungwa saa nne asubuh. Hivyo wanafunzi ndio wanaohudhuria na baadh ya wafuasi wa ccm
Hivi kweli wewe Fitinamwiko kweli NI. Mtanzania Au wewe NI Mjukuu wa Nduli Idd Amin Dada? WanaKagera ndio walioathirika sana Na uvamizi wa nduli Amin, lakini wewe kuwaona wamejitokeza Kwa wingi kuwakumbuka walijitoa muhanga wa maisha yao kuwatetea kutokana Na uvamizi wa babu yako nduli Amini tayari imekuuma. Waombe radhi Wananchi wa Kagera vinginevyo roho yako itakuwa inasononeka Kila utakapokuwa unakutana Na mwenye asili ya Kagera. Mungu ibariki Tanzania.Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi, magari mangapi yamekodiwa kuleta watu, shule ngapi zimefungwa, wanafunzi wamelazimishwa kuhudhuria huo mkutano. Wasanii wangapi walikuwepo kuburudisha na mapipa mangapi ya ubwabwa yamepikwa kuwalisha hao watu. "Usione vyaelea, vimeumbwa"
Inawezekana kweli mnakubalika.. sasa basi msing'oe watu kucha bila ganzi maana hiyo hufanyika pale tu inapoonekana kuna hatari ya kupoteza uwakilishi wa wananchiHaijarishi lakini cha moto mtakipata,hapo kwenye picha hizo umeona msanii anaimba mnajifanya mnamakengeza hamuoni vizuri mtaona tu.