Picha kutumwa kila wakati

Picha kutumwa kila wakati

[/B]
What??
Jibu ambalo ningempa angeji blockisha mwenyew!!
Kuna watu hawana haya!!!

Nataka nifanya hivyo sasa cjui hiyo mipicha yake ataituma kwa posta maaana mpka ifike ni shidaaaa
 
Hahahaaaaaa!! C 2mi tena picha, ucniblock jameni...
 
Kwani kumblock ni tatizo?

Au ka moyo kako kamemdondokea ila unachukia style ya kutuma picha?
 
hahahaaaa!!! eliiiiii, we huoni nimeishaitwa hapa na cathy14? dadeki!

halafu bana kaniambia mimi bana sio wewe! lolest...! sasa ngoja, ntakuletea fwidbak!

.hahaha..nakuaminia kijana wangu, nahisi kama ile mikiba yangu nimekuachia, lolz...
naona unaendesha sebene kwa escape velocity.
 
Last edited by a moderator:
Tuma picha na wewe haaahaa upo hapo

na wewe tuma pm! upo eenh? dadeki... afu uharakishe nataka niende kuokoa vyombo vyangu vilivyobebwa na mafuriko..

hili bonde la msimbazi hili, sijui kama huu mwezi utaisha dadeki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom