Picha kutumwa kila wakati

Picha kutumwa kila wakati

Mwambie hutaki..,huwezi m'block
Simu yako mwenyewe afu ikunyime raha
 
Kadiri umenichekesha eti nimwambie atu hela haaaaahaaa
 
Mwenzenu kuna kaka nilikutana naye ndani ya basi Arusha to Dar tulikaa siti moja basi tukaanza kuongea ongea mpk tukajikuta tunabadilisha namba za simu mpk mwisho wa safar kila alienjoy safari yake basi tangu siku hiyo huyo kaka anafanya kazi ya kunitumia tu mipicha yake whatsapp yaan kila kitu anachofanya nilazima atapiga picha na kunitumia whatsapp asubuhi,mchana mpaka usiku na sijawahi kumuomba picha yake hata siku moja najitahidi kufuta baadhi ya picha but yeye anajitahid kuforward picha zake kwangu na kumwambia naona noma hata sijui nim-stop!
una mpenzi/wapenzi/mume/waume?
 
Block him,nice and easy...kuna watu watsapp inawazuzua sana,akipata tu kidude lazma aforward
 
NA Hiki kibaridi CHA mvua
mahindi ya KUCHOMA huwa
yanapata sana WATEJA..!
 
una mpenzi/wapenzi/mume/waume?

Kuna kila dalili hilo likawa ndo jibu. Anavyodai anaona noma kumueleza ina maana bado anataka mawasiliano naye ila anaogopa hizo picha zitamletea huyo demu sheshe.
 
unampenda kidizaini, ila unaona ukimwambia aache kutuma mapicha,atakuponyoka.
 
atakuwa kakupenda.....lainisha moyo wako binti mchumba huyo 🙂
 
unampenda kidizaini, ila unaona ukimwambia aache kutuma mapicha,atakuponyoka.

Na nikimwambia ndo hatumi tena cjamkataza kutuma ila awe na kiwango jaman kila Mara kula wakati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom