Picha kutumwa kila wakati

Picha kutumwa kila wakati

umenichekesha kweli mkuu! ugonjwa wa pichaliasis kweli umeathiri wengi. Kuna aina flani ya pichaliasis wadada wanabenjua midomo( duck face) nao ule ni hatari maana wahanga ni wengi.
umesahau na ile style ya kukonyeza jicho moja,hahah na ile ya kupga makalio nyuma!pyuuu
 
Aghaaah...jamaa anaweka picha ya kihindi wakati demu anataka picha ya action. Starling Jack Chen. Oooh poor boy boy...
 
Ujamaa hadi kwenye communication? Kweli tumeathirika, naimagine ndio angekuwa dada wa kibepAri hapo duh..angesema tu 'stop sending me your pics, they annoy me' sasa haka kaujamaa ketu we muonee aibu tu
 
Excel unaamini hili???
kila nnayeonana nae yupo singo, lol
hahahaaaa!!! eliiiiii, we huoni nimeishaitwa hapa na cathy14? dadeki!

halafu bana kaniambia mimi bana sio wewe! lolest...! sasa ngoja, ntakuletea fwidbak!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa!!! eliiiiii, we huoni nimeishaitwa hapa na cathy14? dadeki!

halafu bana kaniambia mimi bana sio wewe! lolest...! sasa ngoja, ntakuletea fwidbak!
Haaaaahaaaah kaz ipo
 
Last edited by a moderator:
Mwenzenu kuna kaka nilikutana naye ndani ya basi Arusha to Dar tulikaa siti moja basi tukaanza kuongea ongea mpk tukajikuta tunabadilisha namba za simu mpk mwisho wa safar kila alienjoy safari yake basi tangu siku hiyo huyo kaka anafanya kazi ya kunitumia tu mipicha yake whatsapp yaan kila kitu anachofanya nilazima atapiga picha na kunitumia whatsapp asubuhi,mchana mpaka usiku na sijawahi kumuomba picha yake hata siku moja najitahidi kufuta baadhi ya picha but yeye anajitahid kuforward picha zake kwangu na kumwambia naona noma hata sijui nim-stop!

Anakulia timing ya kukutongoza
 
Anakandamizia yale mliyoongea kwenye basi.

Mfupishie story,mwambie umeshamuelewa,sivyo atakugeuza wewe instagram,na usipomsifia ndio atatumia hadi photo arts kukushawishi.
 
Si uzifute?
Au huwa anakwambia uzitume tena kwake ili ajue unahifadhi?

Nafuta sana mpk siku najidai kumdanganya memory card yangu ndogo imejaaa yaani nazuga eti ananiambia si kanunue memory yenye uwezo mkubwa
 
Haaaaahaaaah kaz ipo
changamka basi cathy! mi ntakuwa kama subordinate dadeki! fanya mamipango tufahamiane mapema kabla mabazazi hayajakubeba mzobe mzobe! au sio mamii?
 
changamka basi cathy! mi ntakuwa kama subordinate dadeki! fanya mamipango tufahamiane mapema kabla mabazazi hayajakubeba mzobe mzobe! au sio mamii?

Tuma picha na wewe haaahaa upo hapo
 
Nafuta sana mpk siku najidai kumdanganya memory card yangu ndogo imejaaa yaani nazuga eti ananiambia si kanunue memory yenye uwezo mkubwa

What??
Jibu ambalo ningempa angeji blockisha mwenyew!!
Kuna watu hawana haya!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom