cathy14
Member
- Apr 11, 2014
- 37
- 23
Mwenzenu kuna kaka nilikutana naye ndani ya basi Arusha to Dar tulikaa siti moja basi tukaanza kuongea ongea mpk tukajikuta tunabadilisha namba za simu mpk mwisho wa safar kila alienjoy safari yake basi tangu siku hiyo huyo kaka anafanya kazi ya kunitumia tu mipicha yake whatsapp yaan kila kitu anachofanya nilazima atapiga picha na kunitumia whatsapp asubuhi,mchana mpaka usiku na sijawahi kumuomba picha yake hata siku moja najitahidi kufuta baadhi ya picha but yeye anajitahid kuforward picha zake kwangu na kumwambia naona noma hata sijui nim-stop!