Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

Watu wa kanda ya ziwa hawtaki kudanganywa tena na Cdm kama 2010 saiv ni Lowassa tu kila sehem
Safi kumbe hawaitaki CCM Ila wanamtaka Lowasa Ila Kumbuka CCM hawamtaki Lowasa. Nape na Viongozi wake wana Mwita Fisadi. Unajua hilo?.
 
nilichofurahi ni kuwa kamanda mawazo kakabidhiwa chopa kwa ajili ya kazi hiyo hii ndo inatakiwa ,unajua mawazo ni mtu anaekubalika sana kanda ya ziwa ccm wanamuogopa sana wakisikia hilo jina gamba litatoka nduki kuelekea kituo cha polisi kuzuia mkutano ,kwa hakika nikianzia sehemu kama magu huko cdm haikuwa na nguvu kabisa ..lakn sasa hvi baada ya ile operation m4c ccm ni chama cha upinzani huko ...huyu jamaa kaivuruga ccm kanda ya ziwa yote magamba wanajua hicho na wanamuogopa maana ukileta ukabila kama wa kisukuma baasi huyu jamaa anajua kumwaga sera kwa kisukuma ni balaa...cdm haihitaji kiongozi wa kitaifa kuzunguka mikoa , wanaweza kuja kwa madhumuni maalum na wakati maalumu kwa sasa ni kuyakabidhi haya majembe vitendea kazi kama chopa kusambaratisha magamba...kila la kheri kamanda mawazo tunakutana sana maeneo mbalimbali ya mwanza sema hatujuani kwa sura.....
 
Kamanda unapaswa kuelewa kuwa Kinana na Nape hawapiti kwa wananchi ili kupiga porojo. Bali kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama. Ambao umetekelezwa kwa asilimia kubwa. Ndio maana unawaona wakizindua na kushiriki kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo.

Pumbav kabisa,eti kukagua ilani za chama ambazo kwa asilimia kubwa zimetekelezeka,kwahiyo unapingana na Mwenyekiti wa lichama lenu?Mijitu mingine Hua Ni mipuuzi saana kwa kujitoa ufahamu kisa kuendekeza njaa.
Eti Kinana anashiriki ujenzi,what a nonsense
 
Pamoja sana kamanda. Naona ulicheleweshewa "chopa" sasa uko nayo utafika sehemu nyingi sana. Backward Never! Endelea kuwapa elimu ya uraia.
 
Ni vizuri mnachofanya, lakini pia ingekuwa ni hekima sana kufanya marejesho ya operation zilizofanywa awali.
Kulikuwa na operations nyingi zilizofanyika huko nyuma, je mrejesho wake ukoje?.
 
CCM wanawakusanya Vijana na baadae wanawatosa kwa kwenda mbele...
 
.... Mbona Hata Uchaguzi Wa 2010 Umati Mkubwa Ulikua Unaonekana Kwenye Mikutano Lakn Wakatutosa
 
chonde chonde nendeni bukoba vijijini hawa maccm yamejimiklikisha jimbo
 
CCM wanawakusanya Vijana na baadae wanawatosa kwa kwenda mbele...



Kamanda Mawazo
Hongera kwa hatua nzuri,tunaomba tu Wagombea ,wasimamizi wa kura,na hakikisheni mnawaambia wananchi Ubaya wa Ilani ya Uchaguzi ya ccm na sera zao zilivyoshindwa kubadilisha maisha ya watanzania.

Waambie wasipoamua,ccm haitatoka kuja kuwahurumia,kama ilishindwa kuhurumia wananchi kwa miaka 51, haiwezi tokea ccm wakabadilika,ni utamaduni wa ccm,ushahidi ni rasimu ya katiba walivyokanyaga masuala muhimu kwa kuwa yangewaumiza.

Watanzania( watawaliwa), tunaweza!
 
Kamanda Mawazo
Hongera kwa hatua nzuri,tunaomba tu Wagombea ,wasimamizi wa kura,na hakikisheni mnawaambia wananchi Ubaya wa Ilani ya Uchaguzi ya ccm na sera zao zilivyoshindwa kubadilisha maisha ya watanzania.

Waambie wasipoamua,ccm haitatoka kuja kuwahurumia,kama ilishindwa kuhurumia wananchi kwa miaka 51, haiwezi tokea ccm wakabadilika,ni utamaduni wa ccm,ushahidi ni rasimu ya katiba walivyokanyaga masuala muhimu kwa kuwa yangewaumiza.

Watanzania( watawaliwa), tunaweza!

Mungu akubariki kaka
 
Kamanda Mawazo tupo pamoja...
Piga kazi huko sisi tunapiga huku...tutakutana katikati October 2015 tukamilishe kazi ya ukombozi
 
Kazeni buti makamanda,saa ya ukombozi imewadia alphoncemawazo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom