Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

Kwetu mnaenda lini maana hamjaenda tangia M4C ianze sijui kwa nini.
Bukoba Vijijini hamjaenda huko au hamkupendi?
 
ninyi ni watu wa ajabu sana yaani huwa mnaridhishwa na picha tu....sio kila anayehudhuria masikini au kanisani atauona ufalme wa Mungu.
 
hamtakiwi kutoka huko fuatilieni hoja za Kinana na maigizo yake huko anakozurura kisha musafishe kwa kuelimisha wananchi. Waelezeni wananchi madhara ya kujaza masisiem mengi bungeni wapeni mifano ya kutosha na kwa utulivu . Wapeni mifano ya jinsi sisiem wanavyoburuza halmashauri pindi wapatapo meya na madiwani wengi hili ndilo somo kubwa zaidi
 
Tukiidhibiti vizuri Kanda ya ziwa Rais wa Ukawa atashinda saa nne asubuhi.Kiidadi tuna wapiga kura wengi huko kuliko kanda yoyote katika nchi hii.

Waambie vijana salama yao ni kupiga kura kwa wingi na siyo kushabikia tu mikutano bali silaha kubwa waliyo nayo ni kupiga kura siku ya uchaguzi na kulinda kura.

Well said Kamanda,thank you...let's join forces tutafanikiwa zaidi
 
Kwetu mnaenda lini maana hamjaenda tangia M4C ianze sijui kwa nini.
Bukoba Vijijini hamjaenda huko au hamkupendi?

KITANGE unachosema ni kweli,Bukoba Vijijini haijafanyiwa kazi,na siku zimekwisha...nyie mlio na ufahamu zaidi jitahidini kuratibu zoezi vyema tufike huko
 
Magamba yalivyo na kiwewe tutasikia tena miswada miwili kwa hatj ya dhalura ...thibiti wanaharakati (Alphonse) na tigi tigi operation. Kwa wingi wao bungeni utasikia speaker akiwahoji ....wanaoafiki tuseme ndio....wote watasema ndiooooooooooo...

Yanaudhi.....wanayoyachagua wanaudhi!

Kuna njia mia moja mbele yetu, wakidhibiti hii tutakuja na nyingine
 
ninyi ni watu wa ajabu sana yaani huwa mnaridhishwa na picha tu....sio kila anayehudhuria masikini au kanisani atauona ufalme wa Mungu.

Bila watu tutahubia miti umla?hatujaridhika kamwe,hiyo ni moja ya mikakati mingi kaka
 
Magamba yalivyo na kiwewe tutasikia tena miswada miwili kwa hatj ya dhalura ...thibiti wanaharakati (Alphonse) na tigi tigi operation. Kwa wingi wao bungeni utasikia speaker akiwahoji ....wanaoafiki tuseme ndio....wote watasema ndiooooooooooo...

Yanaudhi.....wanayoyachagua wanaudhi!

Magamba hayana akili yao kila kitu ni ndio ndio hata mswada wa kuyafunga wao na watoto wao yanashangilia
 
hamtakiwi kutoka huko fuatilieni hoja za Kinana na maigizo yake huko anakozurura kisha musafishe kwa kuelimisha wananchi. Waelezeni wananchi madhara ya kujaza masisiem mengi bungeni wapeni mifano ya kutosha na kwa utulivu . Wapeni mifano ya jinsi sisiem wanavyoburuza halmashauri pindi wapatapo meya na madiwani wengi hili ndilo somo kubwa zaidi

Asante comrade
 
Kwetu mnaenda lini maana hamjaenda tangia M4C ianze sijui kwa nini.
Bukoba Vijijini hamjaenda huko au hamkupendi?

Tunaomba makamanda waende ili kumg'oa yule mama mshama mtetezi wa escrow
 
Back
Top Bottom