Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

Kwani Mizunguko ya Kinana na Nape Kuanzia Mwaka 2013 mpaka sasa imesaidia nn?. Cdm wanacha kujivunia wamepata Mafanikio Mengi sana. Kuna Sehemu nyingi walikuwa hawana Serikali za Mitaa lakini Leo wamepata. Mi nadhani mpaka leo Cdm wamefaidika zaidi Kuliko CCM. Maana CCM imepoteza sana Kondoo wake.

Kamanda unapaswa kuelewa kuwa Kinana na Nape hawapiti kwa wananchi ili kupiga porojo. Bali kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama. Ambao umetekelezwa kwa asilimia kubwa. Ndio maana unawaona wakizindua na kushiriki kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo.
 
asante kwa kulitambua hilo bila shaka wewe ni mtu muelewa sana,sasa kwa kua umetambua hilo unaonaje ukaanza kulikemea hilo kwa chdm?mana chama kina eneza huo udin na kama hujui ue unaenda kanisan Mara moja moja

Sawa,
Nisaidie ushahidi mdogo tu kua inaeneza udini ili niwe na pa kuanzia!!
 
Safii sana mkuu maana hiyo Operation zimesababisha rafiki yangu ni gamba la ccm limeogopa baada ya wazee kumwambia hari ni mbaya saana mwaka huu na majimbo karibu yote yote yatachukuliwa.
 
....

attachment.php
 
Kamanda unapaswa kuelewa kuwa Kinana na Nape hawapiti kwa wananchi ili kupiga porojo. Bali kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama. Ambao umetekelezwa kwa asilimia kubwa. Ndio maana unawaona wakizindua na kushiriki kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo.

Safi MUSAALAN km ni hivyo kwann sasa Cdm ikapata vitongoji vingi na Serikali za Mitaa nyingi km CCM imewafanyia Maendeleo makubwa?. Jaman Vjana tuamke tuwache kudanganyika. Yaani CCM wamefanya makubwa kwa wananchi halafu wananchi haohao wanaikataa CCM wanachagua Chama ambacho hakija Fanya chochote?. Mwambieni Kinana Apache Maigizo. Atakipeleka CCM Kuzimu. Anafanya maigizo Uchaguzi UK IJA Chali.Serrikali Za Mitaa imeonyesha.
 
Mkuu kwani CHADEMA ilishinda serikali za mitaa kwa asilimia ngapi?
Na CCM ilishinda kwa asilimia ngapi? Tuanzie hapo kwanza.
 
Hivyo viwanja ni kule MNADANI au? Dah! kitambo kidogo sijaenda home. Anyways, shida kubwa kwa jamii ya Sengerema ni MAJI japokuwa hawako mbali na ziwa Victoria.

Wakipata kiongozi akatatatua kero hii, Mungu atambariki sana. Nakumbuka ilikuwa muda mwingine hatuendi shule kisa kuwahi foleni ya maji usiku wa manane.

Kila la kheri kwao wenye nia ya dhati kumkomboa mtu maskini.
 
Mkuu kwani CHADEMA ilishinda serikali za mitaa kwa asilimia ngapi?
Na CCM ilishinda kwa asilimia ngapi? Tuanzie hapo kwanza.

Mwanzo wa hesabu ni moja mkuu,cdm inazidi kuchanja mbunga
 
Kamanda unapaswa kuelewa kuwa Kinana na Nape hawapiti kwa wananchi ili kupiga porojo. Bali kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama. Ambao umetekelezwa kwa asilimia kubwa. Ndio maana unawaona wakizindua na kushiriki kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo.

Sisi tunapita kuonyesha uongo na utapeli wa Kinana
 
Kwani jamani ile operation M4C na Sangara ziliishia wapi tena!!!?
 
Mawazo usisahau Ngudu,Malya,Nyambiti,Sumve na Kadashi ziwe kwenye ratiba yenu
 
Mkuu kwani CHADEMA ilishinda serikali za mitaa kwa asilimia ngapi?
Na CCM ilishinda kwa asilimia ngapi? Tuanzie hapo kwanza.

Tatizo sio kushinda kwa asilimia ngapi hapo ndipo Maccm mnapojidanganya kuwa chama chenu kinapendwa wakati wananchi wanazidi kuichukia. Nikupe Ukweli toka nimezaliwa nlikuwa sijawhi kuona sehemu ninapoishi kunaserikali ya Mtaa ya CDM. Lakini Leo chama ambacho mnasema kinakufa kina Huku Segerea , Kinyrez wameshinda sehemu nyingi tu.. kwahio ukiona hivyo ni kwamba CDM imeimprove na CCM imeshuka. CCM walikuwa 900 wamebakiwa na 600 CDM walikuwa na 50 Leo wana 400 nani Amegain hapo?. Ila akili zenu Zna fikiria asilimia. Bogus.
 
Watu wa kanda ya ziwa hawtaki kudanganywa tena na Cdm kama 2010 saiv ni Lowassa tu kila sehem
 
Back
Top Bottom