victor shio
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 651
- 109
Hakuna kulala mpaka walale wao
Magamba hayana akili yao kila kitu ni ndio ndio hata mswada wa kuyafunga wao na watoto wao yanashangilia
Kamanda krb tena Nyaruyeye (Nyarugusu) tunakupenda fika secondari.
kwa nini mikutano ya chadema watu ujitokeza sana?
Hongera Saana kamanda Alphonce Mawazo kwa kazi njema ya ukombozi wa pili, ni kweli Bukoba vijijini imesahaulika cjui Kamanda Rwakatare ina mikakati gani kama mwenyekiti wa Mkoa?
Hapa ni Sengerema kwa Ngereja
Udini ni Sumu kali sana. Na ikianza kuleta madhara basi ni kwa pande zote, hivyo iepuke!mawazo unaeneza injili kwa wakristo wenzio
Udini ni Sumu kali sana. Na ikianza kuleta madhara basi ni kwa pande zote, hivyo iepuke!
Kamanda Mawazo naongea na marafiki zangu Kanda ya ziwa kiukweli wana kukubali mno naskia kuna majimbo matatu wanataka uwe Mbunge kwenye majimbo yako
M4C, Delete CCM, operation sangara,
...zote hizi zimepita hata hii TIGI TIGI nayo pia itapita...
najua unatafutia wanao riziki ya kila siku kupitia vioperesheni uchwara.
mngekua na akili hizi operation zingeanzia ndani ya chama hakika mngefaa kupewa dola,hebu anzeni huko kwnza msijidanganye na huo umati