Picha: Kimbunga cha Haiyan huko Ufilipino (Typhoon Haiyan)

Picha: Kimbunga cha Haiyan huko Ufilipino (Typhoon Haiyan)

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,359
Reaction score
111,651
Hiki ni kimbunga kikubwa kabisa kuwahi kutokea juu ya uso wa dunia katika historia ya vimbunga vyote.

Imewalazimu watu wengi kuyakimbia makazi ili kuyanusuru maisha yao na inaaminika kuwa zaidi ya watu 10,000 wamepoteza maisha.

Picha hii hapa chini inaonesha Kimbunga cha Haiyan kama kilivyopigwa picha na Mwanaanga Karen Myberg akiwa katika Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu.


Typhoon-Haiyan-is-photogr-008.jpg
 
Survivors walk past destroyed houses and dead bodies in Tacloban, the main city in Leyte, where as many as 10,000 people are believed to have been killed by typhoon Haiyan

Survivors-walk-past-destr-008.jpg
 
Survivors of Typhoon Haiyan line up at the airport in Tacloban, Philippines, to board a U.S. military C-130 for Manila

131111063213-01-haiyan-1111-horizontal-gallery.jpg
 
Emily Ortega rests after giving birth to Bea Joy at an improvised clinic at the Tacloban airport.

131111063404-02-haiyan-1111-horizontal-gallery.jpg
 
Buildings are destroyed along the shores of Guiuan.

131111063522-03-haiyan-1111-horizontal-gallery.jpg
 
A body lies amid the devastation in Tacloban

131110103622-13-haiyan-1110-horizontal-gallery.jpg


131110103432-12-haiyan-1110-horizontal-gallery.jpg



People cover their noses to block the smell of bodies in Tacloban


131110103335-11-haiyan-1110-horizontal-gallery.jpg
 
Hatariii...when nature takes it place...there is no way out!

Hizi nchi za Mashariki ya Mbali zipo katika ukanda mmoja wenye kuwa na majnaga kama haya karibia kila mwaka...

Kama sio kimbunga basi ujue ni mafuriko au matetemeko ya chini ya bahari...
 
Back
Top Bottom