PICHA: Kikwete huyoo anasaini mikataba mipya na waarabu Oman

8e9u0003.jpg

8e9u0005.jpg

8e9u0013.jpg

8e9u0018.jpg

8e9u0028.jpg

8e9u0031.jpg

8e9u9991.jpg

tumikwisha!

kwani tanzania ni nchi inayo elea angani? Hai hitaji urafiki na watu wengine ? Au kwa sababu waraabu ni waislam ? Na nyie ndio hivyo tena makanisani mlipewa pipi mkaambiwa inatoka kwa yesu ..baadae mkapewa shubiri mkaambiwa inatoka kwa muhhamad?
Mfumo kristo umekulamaza
unataka mikataba ya wakristo ya kupewa chandarua na kutoa dhahabu...
Kwa kweli kikwete amefanya yale ambayo wagalatia hawataki kwa chuki za dini lakini imesaidia kujua ubaya wao na kuwaamsha wale waislam wa kibakwata
nakupongeza mjomba
 
safi sana .....watuletee koka za kopo na juice za embe......wao wanalima sana matunda......kuliko sisi.......argh!
 
Sijaona sehemu kikwete anasaini mkataba au hamjui sheria nyie kikitokea cha kutokea kwenye sheria yeye hayumo kwani hajatia saini yake hapo ila mseme anashuhudia.
 
Mkuu asigwa, hapo usishangae ni mabadirishano ya tende kwa ajili ya mfungo wa Ramadhani kwa mbuga yetu ya wanyama ya Serengeti! Au pembe za ndovu tulizo sikia wanataka kuzitwanga bei.

Je hajasaini wa Kupewa MAJAMBIA ya bure?
 
Hv huyu mzee uarabuni anafanya nn wakati nchini kwake kuna shida na anajua kabisa walioko madarakani ni mabest. Kikwete oman pinda uk nchi iko vurugu sio hata wapande ndege na kurudi haraka????
 
mmmh!!!!!ukistaajabu ya Musa,utayaona ya Firauni,jamani jamani hii mikataba anayoingia ni kwa sababu anamaliza muda wake au??maana mambo anayofanya kama vile mchanga wa pwani huoooooooooooo???????????????eeeh?????????
 
kuna harufu ya kigalatia hapa.........!!!!!!

Mh!! Nimeshangazwa na kushtushwa kwa picha.
ZILE PICHA ZA WAARABU WENYE SILAHA NA MAVAZI YA KIJESHI NDANI YA ARDHI YA TZ NDIO ZINAHUKUMU YOTE.
Wageni wako ndani ya mbuga, wanafanya kama kwenye zoo yao.... GOD FORBID. HUU UDHAIFU HUU UKOME!!!
 
kwani tanzania ni nchi inayo elea angani? Hai hitaji urafiki na watu wengine ? Au kwa sababu waraabu ni waislam ? Na nyie ndio hivyo tena makanisani mlipewa pipi mkaambiwa inatoka kwa yesu ..baadae mkapewa shubiri mkaambiwa inatoka kwa muhhamad?
Mfumo kristo umekulamaza
unataka mikataba ya wakristo ya kupewa chandarua na kutoa dhahabu...
Kwa kweli kikwete amefanya yale ambayo wagalatia hawataki kwa chuki za dini lakini imesaidia kujua ubaya wao na kuwaamsha wale waislam wa kibakwata
nakupongeza mjomba
hujaandamana leo mkuu kumtetea ponda wakutie segerea kidogo?we mwislamu dhaifu kweli kumbe km kiongozi wako pale gogoni,kawaambia waandamane ye yuko anakula tende huko kwa mabasha wenu:A S tongue:
 
ijulikane wazi kuwa kwenye katiba mpya itawekwa kuwa mkataba wowote unaweza kuvunjwa wakati wowote bila fidia kama hautakuwa na maslahi kwa taifa au hauko countable
 
kwani tanzania ni nchi inayo elea angani? Hai hitaji urafiki na watu wengine ? Au kwa sababu waraabu ni waislam ? Na nyie ndio hivyo tena makanisani mlipewa pipi mkaambiwa inatoka kwa yesu ..baadae mkapewa shubiri mkaambiwa inatoka kwa muhhamad?
Mfumo kristo umekulamaza
unataka mikataba ya wakristo ya kupewa chandarua na kutoa dhahabu...
Kwa kweli kikwete amefanya yale ambayo wagalatia hawataki kwa chuki za dini lakini imesaidia kujua ubaya wao na kuwaamsha wale waislam wa kibakwata
nakupongeza mjomba

HATA MPUMBAVU AKINYAMAZA HUHESABIWA HEKIMA,AKIFUMBA MIDOMO YAKE HUHESABIWA UFAHAMU!!! Na hekima huwa machoni pake mwenye ufahamu.
 
mbona katika picha zote,wakati wa kusaini jk amekasirika au anaumia rohoni anavyoiuza nchi

8E9U0028.JPG

8E9U0031.JPG

8E9U9991.JPG

TUMIKWISHA![/QUOTE]
 
Back
Top Bottom