Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,416
tumikwisha!
kwani tanzania ni nchi inayo elea angani? Hai hitaji urafiki na watu wengine ? Au kwa sababu waraabu ni waislam ? Na nyie ndio hivyo tena makanisani mlipewa pipi mkaambiwa inatoka kwa yesu ..baadae mkapewa shubiri mkaambiwa inatoka kwa muhhamad?
Mfumo kristo umekulamaza
unataka mikataba ya wakristo ya kupewa chandarua na kutoa dhahabu...
Kwa kweli kikwete amefanya yale ambayo wagalatia hawataki kwa chuki za dini lakini imesaidia kujua ubaya wao na kuwaamsha wale waislam wa kibakwata
nakupongeza mjomba