Picha: Jux akwaa Scandal ya Ushoga

Team wachafu baby mnahangaika kweli mmeona domo hamuwezi Jux Kwa pamba kutwa kuvaliana matrack na Jumalukole sasa mmeamua kumchafua the king wa kutupia pamba East Africa
 
faida na hasara za umasikini, utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu.

my take : Tupambane tuukimbie umasikini.
Mkuu pole kwa hizi tuhuma zinazokukabili pambana kujisafisha Mimi shabiki yako sana
 
Kwa hyo mwanaume akiongea na mwanaume mwenzake kwny video call ni shoga? Au kutabasam ndo ushoga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom