Picha:JKT kwa mujibu wa sheria!!!!

Picha:JKT kwa mujibu wa sheria!!!!

pia mwanangu haendi jkt

masai dd hukumban na hizi changamoto huku makazini toka kwa watu wazina call them wazee.......ukifanya kitu kidogo tu urasikia sababu vijana wa siku hizi hamuendi JKT ndo maana umefanya hivo....najiulizaga hawa wazee vipi? jkt ndo kitu gani ? watu wanafikilia jinsi ya kutengeneza maisha bora ya mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla we unakomaa na jungle techniques for what?
 
Last edited by a moderator:

Itakuwa ni juu ya nidhamu, kuwahi, mavazi, information handling,modus operandi na kama hayo
 
.....hapana kaka ni kufundishana uoga tu....lakini hata wajeda wa kizazi wamefunguka wanadai angalau malupulupu yao na makazi mazuri
 
Yaani "jungle techniques" zikufanye uwe muoga tena????!!!
 
10369910_408544172621064_8164564307562372614_n.jpg
hii inaitwaje wakuu mliopitia jkt
 
aisee hii kitu naitamani sana yaani kama wanahitaji watu bila hata malipo yoyote kwakujitolea tustuane jamani mm nipo tayari.
mazoezi matamu aisee hasa mwili ukikubali..yaani nikiwa namtoto bila kinyongo waje wambebe tuu wakamfundishe ukakamavu
 
Angalau kipindi changu ilikuwa ishafutwa zamani, ila nashukuru wadogo zangu hawatapita huko
 
Hii nimeimiss sana jaman sijui kwanin haikuanzia kwetu?????
 
Bulldog unasema hutaki mtoto wako aende unadhani nchi inajua hilo??? Wao wanajua sheria tu!!! Ndo ukute mtoto anapigishwa zoezi hili na wewe uko kwa mbali unaangalia tena anaongezewa mateke kama akikosea!! Hahahaa..
 
Last edited by a moderator:
Watu wanabonyeza button mabomu yanalipuka, ndege inaenda kuua bila rubani si tumekazana kukomezana ajira zenyewe hamna kama sio kuandaa waasi ndio nini arghhh!
Alafu wakija Al Shabau unakimbilia polisi na wanao kama huna akili nzuri!
 
Bulldog unasema hutaki mtoto wako aende unadhani nchi inajua hilo??? Wao wanajua sheria tu!!! Ndo ukute mtoto anapigishwa zoezi hili na wewe uko kwa mbali unaangalia tena anaongezewa mateke kama akikosea!! Hahahaa..

Badala ya kwenda kutafuta pesa na kutajirisha familia wewe uko busy na JKT utadhani ndo inakupa chakula.

Virusi vya ujamaa vinatuathiri hadi leo.

Nipe essence ya JKT kwa ulimwengu wa leo
 
aisee hii kitu naitamani sana yaani kama wanahitaji watu bila hata malipo yoyote kwakujitolea tustuane jamani mm nipo tayari.
mazoezi matamu aisee hasa mwili ukikubali..yaani nikiwa namtoto bila kinyongo waje wambebe tuu wakamfundishe ukakamavu

kama kigoli sikushauri...........
 
Back
Top Bottom