CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Huyo jamaa kwenye picha ya pili mbona kashika kwenye kikojoleo????
Watu wanabonyeza button mabomu yanalipuka, ndege inaenda kuua bila rubani si tumekazana kukomezana ajira zenyewe hamna kama sio kuandaa waasi ndio nini arghhh!
Bora tu sikufaulu mateso yote haya ya kazi gani! kunikamata hawawezi
Nshasema mwanangu haendi JKT
Tafuta MOVIE inaitwa "the lone survivor" kwa leisure tu angalia mule watu wanafanywa nini kwenye mafunzo halafu uje tena!!!!!
kumbe unazungumzia movie
Sasa utaona wapi na wewe raia???!!
Hayo madogo mmeona kwa picha chupy zinabana ukiona full version!!!!????
Ongeza na "full metal jacket" uone drills hizo unazosema kwenye muvie jaribu home mkuu!!!!
Jaribu mkuu ni "movie tu"mbona!!!Mhh basi mkuu inatosha.... Yaani unataka nijaribu home!!?
Jaribu mkuu ni "movie tu"mbona!!!
Haya nakuambia ni mazoezi tu so ukichoka unaachaHata ya akina John Cena ni "mieleka tu" ila tunaambiwa tusijaribu nyumbani.
Duh. ...
Ingekuwa kuna kulipwa bora. ...
Hivi hivi hapana . ..
Haya nakuambia ni mazoezi tu so UKICHOKA UNAACHA
Kama hujaenda jiandae, hutopata shida!!!Hapo kwenye herufi kubwa pamenipa ujasiri, nitajaribu mkuu.
Tafuta movie inaitwa "the lone survivor" kwa leisure tu angalia mule watu wanafanywa nini kwenye mafunzo halafu uje tena!!!!!
Mkuu wandhani hao wanaobonyeza hizo batani walisomea "cookery"!!!!!Watu wengine kichwani mwao wanafikilia siasa tu hakuja jeshi lolote ulimwenguni wanaopata mafunzo darasani tu.