Picha: JKIA Terminal 3 imejengwa kama banda la kuku lililogharimu shs. Billioni 560

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,013
2,000
julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-04-616-1462374271743448996.jpg
Linaitwa terminal 3, pesa za kujenga banda hili zingetosha kujenga viwanja 10 vya taifa, amazing.
1200px-Tanzania_National_Main_Stadium_Aerial.jpg
 

Wgr30

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
1,724
2,000
Naona umeamua kwa dhati ya moyo wako kubadili jina la uwanja wetu wa ndege(JKIA) kuwa banda la kuku!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom