Picha: JKIA Terminal 3 imejengwa kama banda la kuku lililogharimu shs. Billioni 560

doh...inawezekana hzo gharama zinahusisha uwekaji wa mifumo yote..kama conveyor, elevators ..mifumo ya usalama n.k..tho bado wamepiga..as mradi mzima wa BRT (mwendo kasi) uligharimu sh. bilioni 280, embu fikiria barabara na vituo vyote vya mabasi..pamoja na miundombinu ya majitaka umeme n.k..lakini hilo banda peke yake limecost mara mbili na ushee ya mradi wa mwendokasi..ni wizi ulio wazi wazi
Kwani katika mradi huu hawajaongeza runway ma karakana za ndege?!!!
 
Back
Top Bottom