Picha: JKIA Terminal 3 imejengwa kama banda la kuku lililogharimu shs. Billioni 560

doh...inawezekana hzo gharama zinahusisha uwekaji wa mifumo yote..kama conveyor, elevators ..mifumo ya usalama n.k..tho bado wamepiga..as mradi mzima wa BRT (mwendo kasi) uligharimu sh. bilioni 280, embu fikiria barabara na vituo vyote vya mabasi..pamoja na miundombinu ya majitaka umeme n.k..lakini hilo banda peke yake limecost mara mbili na ushee ya mradi wa mwendokasi..ni wizi ulio wazi wazi

Nani alikua waziri?
 
Acha kufananisha banda la kuku na uwanja wa taifa thamini mali yako hata kama ni ndogo
Bombadier zina matairi ya bajaji sembuse terminal kuwa kama banda la kuku?

Mnasubiri tume ndio mjitoe tena ufahamu eti rais amethubutu!!
Tunawaambia leo mnatoa povu kama mnachezea mjegejo
 
Wakati mwingine let's have facts ,nimepitia hpo jkia juzi siyo hicho kibanda mmeonyesha hpo hawa jirani zetu wanatafuta kupata category 1 status vitu vinavyojengwa pale ni balaa.
 
Duh ni JKIA au JNIA? i thought JKIA ni Jomo Kenyatta International Airport na JNIA ni Julius Nyerere International Airport, au umebadilishwa siku hizi?
 
Ninachoweza kusema ni kuwa 'nimependa muonekano wa mji' hapo chini!

1200px-tanzania_national_main_stadium_aerial-jpg.523693
 
Kwa haraka haraka tu kujenga uwanja wa mpira unahitaji zege,cement,nondo na viti vya plastic! Vitu vingine vidogovidogo ni mbwembwe tu.

Sasa tukija kwenye uwanja wa ndege kwanza ile runway tu balaa achilia mbali departure/arrival lounge plus equipment za kupokea mizigo,check in etc.

Sidhani kama unaweza kulinganisha uwanja wa mpira na uwanja wa ndege.

Heathrow Terminal 5 (Not the whole airport)cost: £4.2B
Wembley Stadium cost: £798m
 
Uwanja wetu wa ndege unauita banda la kuku?

Punguani wahed.

Mamaaaa! Dah! FF hukufunga weye?? Kweli waliniambia kuwa mwanamke hana dini. Nimeanza kuamini. Lugha gani hii tena Yaarabiii tena kutoka kwako mwenye kisomo. Acha kabisa
 
Back
Top Bottom