Picha: Je hii inawezekana Bongo kwa Polisi kutaniwa?

Jamani tupo maofisi maboss wakituona tunakufa mbavu sijui tutawaambia nini, majibu ya huu uzi ni shda:D
 
c9c13ad68ee0552f56a310e9b40e36bd.jpg


Tusaidiane wana Bodi. Unadhani nini kingemtokea huyu ndugu kama kitendo hiki angekifanya hapa kwetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hii pic ingetumika kumtafutia alafu kitakacho Endelea usiombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa bongo kwanza hata usingeweza kumposti maana huo muda wa kumpiga picha usingepatikana na kama ungebahatika kuposti picha zake basi ungeanza na neno hili " samahani kwa picha mbaya na za kutisha"
 
Back
Top Bottom