Kwani gari za police hazikwami amaaa.... Mie naona analisukuma
Amini gari ya polisi nayo yawezekana kuisukuma
Ya Daudi Mwangosi.![]()
Tusaidiane wana Bodi. Unadhani nini kingemtokea huyu ndugu kama kitendo hiki angekifanya hapa kwetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani gari za police hazikwami amaaa.... Mie naona analisukuma
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwangalie vizuri kwenye macho!!!
Ndo askume peke yake?
Hahaha
Ndioo... Hebu angalia vizuri nguo alizovaa
Hahaha[emoji16] [emoji16] [emoji16] hivi ametoka tz au nmefananisha pale begani
Sent using Jamii Forums mobile app
Raia wenye shule au nchi iwe na Polisi wenye kuzingatia proffesinalism and modernity.Ukiwa na raia wenye shule ni raha sana aisee, kilia mmoja anajua wajbu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati scenario inaonyesha yupo mahakamani na macho yanaonyesha anazomea mapolisi.Amini gari ya polisi nayo yawezekana kuisukuma
![]()
Tusaidiane wana Bodi. Unadhani nini kingemtokea huyu ndugu kama kitendo hiki angekifanya hapa kwetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaWakati scenario inaonyesha yupo mahakamani na macho yanaonyesha anazomea mapolisi.
Kuna watu wana bahati sana duniani... Thubutu kuzomea gari ya OCD salary slip yake INA madeni mpaka imegeuzwa kwa nyuma ndo utajua...Polisi ni jeshi au national milling au shirika la mkonge. Aaaaaaha!!
Sent using Jamii Forums mobile app