mi pia☺️Binafsi sina la kuongeza.
Mmoja hapo anatupq sana vijembe mtandaoni.Uzuri mmoja wote wamekaa kimyaa hamuna kutupiamo vijimaneno mtandaonii wala kuongea ongeaa
Jua maisha ni mlima eeh.. maisha ni mlima. Kuna kupanda na kushuka eeh. ..kupanda nakushuka. Je kuteleza siyo kuanguka eehh mtoto wa mama😆😆😆😆Mmoja hapo anatupq sana vijembe mtandaoni.
Huo wimbo tulia anauimba imba sana facebookMhenga wa
Tusanue nan??
ok.Ukiitazama picha hii inaonyesha hali halisi ya matukio na mambo yaliyotokea katika taifa hili...
1). Bluu :waliomba kukaa pembeni
2). Nyeusi na Kahawia(nyeupe mpauko): alipumzika nyadhifa ila bado yupo
3). Nyeusi: amejiuzulu na kufukuzwa kabisa.
Ningekuwa mpiga picha ningewaambia wachanganye rangi(wajichanganye)
NB:
Unalipi la kusema au kuongeza hapo mwanajamvi (Critical thinkers)View attachment 3671683