Nawe ni mmoja wa "wajinga", au "waumbavu"?Huu nao ni ujinga, ni mara ya kwanza viongozi wa kiislamu kuingia kanisani kwenyw ibada maalum?
Kwenye maziko ya Msuma huyo Mama hakuhudhuria ibada ya mazishi kanisani Mwanga? Vipi ibada ya mazishi ya Lowasa Luthe house hakuwepo?
Tuache ujinga ujinga, halafu hapo kwa Mwamposa hiyo ni Ministry huduma na siyo Church Kanisa.
Huduma ni kwa ajili ya watu wa dini zote wanafuata uponyonyaji, nenda leo kwa Mwamposa utawakuta waislamu kibao mpaka kutoka Comoro wanafuata uponyaji.
Wapumbafu gani hapo?Nawe ni mmoja wa "wajinga", au "waumbavu"?
Mimi ninakuweka kwa hao waumbavu.
"Uchaguzi gani "unamshughulisha sana SSH...". Huo wa Oktoba ambao tayari amekwisha shinda; au kuna uchaguzi gani mwingine?2025 mwaka wa uchaguzi, unamshughulisha sana SSH kuliko hata ulivyomshughulisha JPM mwaka 2015 na 2020.
HUYU MAZA HATETEKI NA MUNGU KESHAKAA. HATOBOIHawa wasaidizi wa Mwamposa Pastor Tonny (suti rangi ya light blue anayecheka) na huyo Mpemba(mwenye suti dark blue na miwani anyetambulishwa na Bulldozer) ni watu wa System na hili limeratibiwa kuunganisha haya makanisa kuelekea Oktoba kukiwa na vuguvugu la Gwajima na baadhi ya Wachungaji/viongozi wa dini na manabii kuwa na muendelezo wa kuikosoa/kuitabiria mabaya Regime ya Samia.
Swali ninalojiuliza Mwamposa pekee itakiwa msingi wa kurudisha Imani ya Wakristo kwa Samia's Regime hasa Makanisa ya Manabii sababu Antony Lusekelo hakuficha alifunguka wazi kuna baadhi yao wanamchukia namba 1 ila ni wachache mnoo ukilinganisha na idadi ya wanao mkubali.
Sasa Katoliki wa kutishwa na Mwamposa na Lusekelo kweli?Mwenye suti light blue anacheka cheka sanA
mWanamke hata awe nani zile tabia za kike haziishi,huyu Chura kawa karibu na bulldozer ili kuwatisha kina Gwajima na katoriki wakina Kitima
Usiwadharau wajinga hasa wakiwa kwenye kundi!Ushawishi wake upo kwa wajinga tu na watu wasiojitambua
Hii meza ina vinywaji vya gharama sana Mwanabodi.HUYU MAZA HATETEKI NA MUNGU KESHAKAA. HATOBOI
Takataka kabisa!Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Wake kwa waume na watoto 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ila tusichanganye dini na siasa! 📌
View attachment 3396060
View attachment 3396061
Napajua pale mahali tangu mwaka 1978, naijua kawe tangu ikiwa ni mashamba ya watu.Hizo ibada zinafanyikia kwenye eneo Gwani..!?Unafaham historia ya eneo Hilo!? Au nikuache mifano Tena zidumu fikra za mwenyekiti.
Kwako wewe ameshashindwa lakini kwa mamilioni ya watu wenye kuelewa anachokifanya, watampa kura nyingi sana."Uchaguzi gani "unamshughulisha sana SSH...". Huo wa Oktoba ambao tayari amekwisha shinda; au kuna uchaguzi gani mwingine?
Kama kuna mwingine, mwambie asijihangaishe; hana nafasi yoyote ya kushinda kura zikiigwa na kuhesabiwa kwa HAKI.
Kwa hiyo, kwa kuzingatia uzoefu wako, je ni sahihi eneo lenye uwezo mkubwa wa maendeleo kama lile kutumika kwa shughuli za aina hiyo? Kwa nini asitafutiwe eneo jingine, ilhali Rais ndiye msimamizi mkuu wa ardhi katika nchi hii?Napajua pale mahali tangu mwaka 1978, naijua kawe tangu ikiwa ni mashamba ya watu.
Serikali kwa maana ya Rais ndiye mmiliki wa ardhi yote ya Tanzania kumbuka hilo.
Swali zuri lakini anayeweza kulijibu ni mamlaka za kiserikali. Waziri wa Ardhi yupo kwenye nafasi nzuri ya kulijibu kwa kirefu.Kwa hiyo, kwa kuzingatia uzoefu wako, je ni sahihi eneo lenye uwezo mkubwa wa maendeleo kama lile kutumika kwa shughuli za aina hiyo? Kwa nini asitafutiwe eneo jingine, ilhali Rais ndiye msimamizi mkuu wa ardhi katika nchi hii?
Tunarudia yaleyale kama siku zote maana uelewa wako ni mgumu.Kwako wewe ameshashindwa lakini kwa mamilioni ya watu wenye kuelewa anachokifanya, watampa kura nyingi sana.
Samia tunatiki October 2025.Tunarudia yaleyale kama siku zote maana uelewa wako ni mgumu.
Kamwambie taratibu za uchaguzi huru zianzishwe mara moja kwa vile anao uhakika wa mamilioni **** kura yeye!
Hata huoni aibu kurudia mambo ambayo unajuwa hayao?
Raisi samia
Binti wa KIISLAM Ametinga mazabahauni???
Ataghafir
Hilo linakuhusu wewe; mimi najuwa hakuna huo utapeli.Samia tunatiki October 2025.
Shika adabu yako wote hata mwenye ushungi?MWAMPOSA NI BOSS WAO WOTE HAPO KWENYE PICHA
Muda utaongea mkuu Kalamu.Hilo linakuhusu wewe; mimi najuwa hakuna huo utapeli.
Muda unaousubiri ni wa kuiba uchaguzi ili Samia na GENGE lenu libaki madarakani bila ridhaa ya wananchi.Muda utaongea mkuu Kalamu.