PICHA inaongea mengi

Hiyo n sehem ya negotiations katika deals zao na biashara apa duniani, ko tunaweza sema ni makubaliano katika income interests 🤝
 
Ushawishi wake upo kwa wajinga tu na watu wasiojitambua
Hao ndo wengi. Hili ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na CHADEMA. Mnaowaita wajinga na maskini ndo wengi hupiga kura. Siku mkiacha huu upuuzi wa kudhani mna akili sana angalau mtaanza kukubalika.
 
Hao ndo wengi. Hili ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na CHADEMA. Mnaowaita wajinga na maskini ndo wengi hupiga kura. Siku mkiacha huu upuuzi wa kudhani mna akili sana angalau mtaanza kukubalika.
Hakika Mkuu kuna jamaa mmoja JF ni kidume Ila anajiita majina ya kike inaashiria jamii yetu imepotea Sana.
 
Hizo ibada zinafanyikia kwenye eneo Gani..!?Unafaham historia ya eneo Hilo!? Au nikuache mifano Tena zidumu fikra za mwenyekiti.
Samia akiwa Rais anayo maamuzi ya mwisho kuhusiana na ardhi ya JMT, Kajifunze juu ya majukumu ya nafasi ya Rais.
 
Ni kweli, na karibia 45% ya Watanzania ni wajinga sana na hawajitambui kwahiyo ni kweli ushawishi jamaa anao wa kiasi kikubwa tu
Watu ni wajinga kupita kiasi
Na wachokonozi hawakukosea hata kidogo
 
Wakristo baadhi ni wapumbavu sana ,yaani wanataka waislamu wafuate kile chao ..Mbowe alisali kabisa kama waislamu ,haikuwa ishu wala kutrend japo alikuwa anakosea .

Ila mtu kuruhusu kuombewa kinafki wao inakuwa ishu kuwa ..Asili ya ukristo kwa hapa Tz ni ushamba basi utaelewa walivyo.

Wanashindwa kutambua hapo wao ndio wanatumika na serikali sio serikali kuwatumikia wao...

Nilipo mimi wakristo wananiletea mpaka vitabu gya dini yao na kunialika makongamano yao ..Siwezi kuwaonesha kama sitaki ila siendi kama vitabu nachukua ile kinafki🤣🤣.


Basi wanadanganya huko.
 
Samia akiwa Rais anayo maamuzi ya mwisho kuhusiana na ardhi ya JMT, Kajifunze juu ya majukumu ya nafasi ya Rais.
Kwahiyo, maamuzi yake ya mwisho katika jambo hili ni haya, kugeuza sehemu ya kiwanda kilichokufa kuwa hema la watu kuabudia? Hiki ndicho kilele cha fikra za uongozi? Badala ya kufufua uzalishaji, tunafufua mahema ya ibada katikati ya magofu ya viwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…