Picha ina maana gani hii??

Picha ina maana gani hii??

Ohoooooo........[emoji2] [emoji2]
Google haitoi msosi aiseeeee, maana hii ni moja ya dalili ya watu wavivu ambao Google inawachukia....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hahahaha si umesema ni kila kitu
 
Mwenye mke ambae ni nguvu (nyundo) amekua akitumia nguvu kumtilia mkewe mgegedo ambao ni kibamia (misumari) pasipo staha na mke (ubao/mti) haridhishwi na kuwekewa kwa nguvu pasipo akili na maandlizi, kama mchepuko (screw driver) hauna nguvu lakini una mgegedo (screw)wa haja mrefu na mnene kuliko msumari ambao huu ingiza polepole tena kwa mpangilio pasipo kutumia mijinguvu kama (nyundo) mumewe.
Hapo ndipo mwenye nguvu (nyundo) mume anapokuja mfumania kajamaa hakana mijiguvu (screw driver) kakimzamishia mkewe (ubao/mti) hogo na linazama kiulaini........
Ndipo nyundo akaanza kumpa kichapo screw driver hadi akamvunja shingo.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kumbe!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom