Picha ina maana gani hii??

Joseverest

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
52,497
70,621
51c15b83e687e6d143fb8e42e546a5af.jpg
 
Hahahahh, jamaa alikua hamkuni vizuri mkewe, hiyo misumari yake imepinda yote, kila siku hamridhishi. Akaja bwana bisibisi ye kamkuna vizuri, mara moja tu lakini kitu kimenyooka.

Bwana nyundo kamaindi ameenda kumpa kipigo bwana bisibisi.

Dah, nlitaka kusahau, bwana nyundo ana kibamia.
 
Umejibu sahihi nadhani mkuu
 
kibamia
 
Mwenye mke ambae ni nguvu (nyundo) amekua akitumia nguvu kumtilia mkewe mgegedo ambao ni kibamia (misumari) pasipo staha na mke (ubao/mti) haridhishwi na kuwekewa kwa nguvu pasipo akili na maandlizi, kama mchepuko (screw driver) hauna nguvu lakini una mgegedo (screw)wa haja mrefu na mnene kuliko msumari ambao huu ingiza polepole tena kwa mpangilio pasipo kutumia mijinguvu kama (nyundo) mumewe.
Hapo ndipo mwenye nguvu (nyundo) mume anapokuja mfumania kajamaa hakana mijiguvu (screw driver) kakimzamishia mkewe (ubao/mti) hogo na linazama kiulaini........
Ndipo nyundo akaanza kumpa kichapo screw driver hadi akamvunja shingo.....

uko vizuri mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom