Picha ina maana gani hii??

Picha ina maana gani hii??

Mkuu.....
Nimepata tafasiri ya picha Kwa msaada wa Google....[emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaha shukrani kwa brother Google
 
Hahahahh, jamaa alikua hamkuni vizuri mkewe, hiyo misumari yake imepinda yote, kila siku hamridhishi. Akaja bwana bisibisi ye kamkuna vizuri, mara moja tu lakini kitu kimenyooka.

Bwana nyundo kamaindi ameenda kumpa kipigo bwana bisibisi.

Dah, nlitaka kusahau, bwana nyundo ana kibamia.
Daaaa iasee idumu fahisi.
Mkuu utafikili ulikuwepo vile.
Mwenye mke ambae ni nguvu (nyundo) amekua akitumia nguvu kumtilia mkewe mgegedo ambao ni kibamia (misumari) pasipo staha na mke (ubao/mti) haridhishwi na kuwekewa kwa nguvu pasipo akili na maandlizi, kama mchepuko (screw driver) hauna nguvu lakini una mgegedo (screw)wa haja mrefu na mnene kuliko msumari ambao huu ingiza polepole tena kwa mpangilio pasipo kutumia mijinguvu kama (nyundo) mumewe.
Hapo ndipo mwenye nguvu (nyundo) mume anapokuja mfumania kajamaa hakana mijiguvu (screw driver) kakimzamishia mkewe (ubao/mti) hogo na linazama kiulaini........
Ndipo nyundo akaanza kumpa kichapo screw driver hadi akamvunja shingo.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Kweli we kiboko! Maana nilikuwa nimetoka kapa
 
Wakuu tunampa ushauri gani bwana nyundo??
Picha ya mwisho kuna nguo imeanuliwa katikati, huyo ndo mwanamke aliyeolewa na bwana nyundo.

Bwana bisibisi kaacha wanawake wengine(nguo zilizobaki kwenye kamba), akaenda kwa mke wa Nyundo.

Mafundisho:
Mke apewe haki yake ya msingi vizuri, show ya kibabe, la sivyo bwana bisibisi atafanya yake.

Mke wa mtu ni sumu. Bwana nyundo akikumata lazima akugonge. Gonga ugongwe kwa udhamini wa Tigo.
 
Kweli mke apewe haki yake sawa sawia
 
IMG-20170608-WA0002.jpg
 
Hahahahh, jamaa alikua hamkuni vizuri mkewe, hiyo misumari yake imepinda yote, kila siku hamridhishi. Akaja bwana bisibisi ye kamkuna vizuri, mara moja tu lakini kitu kimenyooka.

Bwana nyundo kamaindi ameenda kumpa kipigo bwana bisibisi.

Dah, nlitaka kusahau, bwana nyundo ana kibamia.
Sawa kabisa
 
Hahahaha shukrani kwa brother Google
Google sio wa mchezo mchezo aiseeeee......[emoji2] [emoji2]
Hata ukiweka picha yako kwake, yeye atakuambia kuanzia kabila hadi uzao wako......[emoji13] [emoji13]
 
Teh teh teh hatari iliyoje...ngoja siku moja nitaomba kudownload chakula
 
Ohoooooo........[emoji2] [emoji2]
Google haitoi msosi aiseeeee, maana hii ni moja ya dalili ya watu wavivu ambao Google inawachukia....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom