Picha iliyowavutia watu wengi sana nchini Kenya

Kipindi cha kampeni hichi huko Kenya!hata akinywa maji watasema Kenyatta ameonyesha uzalendo kwa kunywa maji ya Kenya!Tusiendeshwe kwa matukio,tutumie akili
 
Hawa wamama wa kwetu huku hasa wanaovaa kijani, hata kama yupo kwenye mfungo akikutana na dereva hawezi chomoa kutoa mkono. Unabisha???
 
Mbona ni utaratibu wa kawaida tu?

Nini kipya hapo???

Niliona kina mama na hata wasichana wa shule wengine visiwani petu na hata hapa Dar wenye Imani zao wanakusalimia mkono ukiwa ndani ya khanga, kitenge ama mitandio yao. Niliona pia Katika nchi moja ya Asia Mashariki hata wanaume Wakristo hawashikani mikono na wanawake wakristo kama vile kupongezana. Hivyo ni ama kwa sababu za kidini ama za kitamaduni wanawake na wanaume hawashikani mikono hadharani.
 
Mbona ni utaratibu wa kawaida tu?

Nini kipya hapo???

Niliona kina mama na hata wasichana wa shule wengine visiwani petu na hata hapa Dar wenye Imani zao wanakusalimia mkono ukiwa ndani ya khanga, kitenge ama mitandio yao. Niliona pia Katika nchi moja ya Asia Magharibi hata wanaume Wakristo hawashikani mikono na wanawake wakristo kama vile kupongezana. Hivyo ni ama kwa sababu za kidini ama za kitamaduni wanawake na wanaume hawashikani mikono hadharani.
 
Back
Top Bottom