Picha iliyowavutia watu wengi sana nchini Kenya

Mie na akii zangu ndogo naona ni kitu cha kawaida hata sijaona kama kina uajabu saaanaa hadi kuwa habari
 
hapa wa kupongezwa ni uhuru kwa kutambua dini/misimamo ya huyu mama.

iliwahi nitokea nakutana na mdada misimamo kama hii mbaya zaidi alinizuia hata kushikana mkono na mwenzie ambaye hakuwa na misimamo iyo.

badae nilimwelewa sana na kuheshimu miiko yake
 
Hiyo ni kawaida ya wanawake Wakisomali, tena Raisi Uhuru alitakiwa kumshukuru Mungu sana Maana hao wanawake wanakuaga hatari sana,sometimes wanafichaga vilipuzi ndani ya hayo mavazi yao.
(INFEDILS ARE REAL MUSLIMS)
 
image.jpeg
samia suluhu aige hapa
Ah wapi..., wa mjini huyo tena anakumbatiaga kabisa
 
Back
Top Bottom