Picha: Ibada ya kumuaga Regia Mtema iliyofanyika Tabata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Ibada ya kumuaga Regia Mtema iliyofanyika Tabata

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Finest, Jan 16, 2012.

 1. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wakuu hizi ndio picha nilizoweza kupiga kwenye Ibada ya kumuombea Regia Mtema iliyofanyika Kanisa Katoliki Tabata

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,472
  Likes Received: 28,356
  Trophy Points: 280
  Thanks man!
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  Dah, asante mkuu kwa kutuwakilisha tulio mbali. Mungu awafanyie wepesi wafiwa.
   
 4. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 11,816
  Likes Received: 3,306
  Trophy Points: 280
  Asante kiongozi.
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sante TF.

  RIP Regia!
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Shukrani mkuu nimeziona pia TBC1 taarifa ya habari saa mbili usiku huu
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,577
  Likes Received: 15,009
  Trophy Points: 280
 9. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,329
  Likes Received: 900
  Trophy Points: 280
  Nilishiriki ibada. Maneno ya mzee E. Mtema yalikuwa mazito, hasa pale aliposema: Alipewa jembe alitumie. Baada ya miaka 32, mwenye jembe kaja kulichukua.
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Jamani inauma...
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Oh Masikini, so its true ?!! MUNGU akupumzishe pema dada. Uende salama mpendwa, upumzike kwa amani Regia. Tulikupenda lakini MUNGU amekupenda zaidi. Sisi tu maua bustanini na YEYE mwenyewe ni mwenye bustani na tunaamini kuwa amekuchuma na kukupamba chumbani kwake pembeni ya kitanda chake ili uwe wa kwanza kukuona aamkapo (japo twajua kuwa halali) na wa mwisho kabla hajalala. Upate kibali machoni mwake. Amen

  TF aksante sana kwa kutuwakilisha kaka, wewe na wengine wote Mbarikiwe sana.
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  inauma sana Mwali....lakini ndio njia ya wote.......

   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,807
  Likes Received: 1,592
  Trophy Points: 280
  Wakuu ratiba ya kesho ikoje?
   
 14. R

  Rugemeleza Verified User

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Asante kwa picha zinahuzunisha sana. Mungu atupe nguvu kusonga mbele na ampumzishe katika amani ya milele. Amina.
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mungu ni mkubwa
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  ...inna lillah wa inna ilayhi rajuun...inauma na inasikitisha...
  wallahi kama kungekuwa kuna uwezekano, ningependa
  nibakie na kumbukumbu zake alipokuwa hai pekee, ...hii ya ndani ya jeneza
  naamini hata marehemu asingependa aonekane hivyo...anyway, ni maoni yangu tu.

  Thanks TF, ...MWENYEZI MUNGU amfanyie wepesi kwa aloyatanguliza na amjaalie Pumziko jema,

  AMEN.
   
 17. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  Inauma sana. Ila tukumbuke kuwa: REGIA ALIKUWA KAMA SISI NA SIKU MOJA TUTAKUWA KAMA YEYE. UTAISHI MILELE KWENYE NAFSI ZETU. RIP DADA REGIA
   
 18. M

  Mkono JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 569
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bwana ametoa bwanaametwaa jina lake lihimidiwe amen
   
 19. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 4,163
  Likes Received: 12,482
  Trophy Points: 280
  TF, aksante kwa picha, RIP dada Regia
   
 20. T

  TUMY JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli ni huzuni kubwa,mkuu uliyeweka picha tunakushukuru ka kweli nimeona umoja wa hali ya juu sana na mshikamano wa hali ya juu kabisa ndani ya JF katika kipindi hiki kigumu sana cha msiba wa dada yetu Regia. Mshikamano daima.
   
Loading...