PICHA: huyu ni rais wa wapi!!

Huyu Raisi asilimia 90 ya mshahara Wake anatoa kama msaada (Charitable causes) Mshahara Wake ni dola 12500 kwa mwezi ukitoa 90% anabakia na 1250.
 
anakurekebisha unakuwa mkali wakat hujui........ Kwan ungeshukur au kukaa kimya ungepungukiwa nn?
 
samahan mkuu FaizaFoxy unaweza kutufafanulia kidogo huyo jamaa aliyemjengea jimama mabwepande na huyo aliyempeleka kimada dubai?
 
Last edited by a moderator:

sasa kama unazijua zilipo hizo nchi sasa far east umeiandika ya nn? Ww lazma utakuwa zao la Mulugo
 
Thibitisha unayoyasema! Pepe ni raisi bado!
 
Huyu angekuwa raisi wa tanzania tungefika mbali sana.
 
Sijawahi kusikia kama alikuja Tanzania au Rais wetu alienda huko kwa ziara za Kiserikali au kikazi.

Baba MwanaAsha anakwenda nchi ambazo anaweza kutembeza bakuli sasa huko kwa Mujica angeambulia nini? Mujica angemshauri ahalalishe uuzaji wa ganja kama alikuwa na shida ya forex!!!
 
samahan mkuu FaizaFoxy unaweza kutufafanulia kidogo huyo jamaa aliyemjengea jimama mabwepande na huyo aliyempeleka kimada dubai?

Hapo nilipoishia inatosha kabisa, kwa mwenye kuelewa ameshaelewa na asiyeelewa maana haambiwi maana.
 
Mkaushie mkuu,huyo ni rais wa Suarez
 
Baba MwanaAsha anakwenda nchi ambazo anaweza kutembeza bakuli sasa huko kwa Mujica angeambulia nini? Mujica angemshauri ahalalishe uuzaji wa ganja kama alikuwa na shida ya forex!!!

Hilo nalo neno, hata Mbowe akihutubia huwa zinatembezwa bakuli na ganja haiachwi kuuzwa pale kwenye biashara yake Bilicanas.

Na akija huja na mashangingi yanaongozana. Umesahau?

Wajinga Ndiyo Waliwao.
 
Hilo nalo neno, hata Mbowe akihutubia huwa zinatembezwa bakuli na ganja haiachwi kuuzwa pale kwenye biashara yake Bilicanas.

Na akija huja na mashangingi yanaongozana. Umesahau?

Wajinga Ndiyo Waliwao.

Personal attacks hizo,halafu sio za kweli...

Bimkubwa angalia credibility yako,unaigaragaza aisee...uwe una attack hoja basi
 
Wakiweka bembea watapata ugeni.

Hivi hamjamwona huyo jogoo kwenye hio picha wadau? Kanona sana huyo jogoo sijui atakua aina gani nipate mbegu.
 
José Alberto "Pepe" Mujica Cordano (<small>Spanish pronunciation: </small>[xo&#712;se mu&#712;xika]; born 20 May 1935) is a Uruguayan politician who wasPresident of Uruguay between 2010 and 2015. A former urban guerrilla fighter with theTupamaros, he was imprisoned for 13 years during the military dictatorship in the 1970s and 1980s. A member of the Broad Front coalition of left-wing parties, Mujica was Minister of Livestock, Agriculture, and Fisheries from 2005 to 2008 and a Senator afterwards. As the candidate of the Broad Front, he won the 2009 presidential election and took office as President on 1 March 2010.

He has been described as "the world's 'humblest' president", due to his austere lifestyle and his donation of around 90 percent of his $12,000 (£7,500) monthly salary to charities that benefit poor people and small entrepreneurs.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…