GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,032
- 126,484
Haya sasa mada inahama taratiiibu
Unalolihisi Wala Halitatokea Sema Labda Wewe Ni Mshabiki Wa Vurugu Na Majungu Na Epuka Sana Kufanya Labeling Theory Dhidi Yangu.
Haya sasa mada inahama taratiiibu
sikujua kuwa alishaondolewa madarakani...na vipi huyu aliyepo sasa naye ni masikini?niliuliza kama president toka TZ aliwahi kutembelea huko na vipi aliwahi kuja TZ
mkuu hebu nawewe nijulishe kuhusu consumption ya mafuta kati ya hizo gari mbili!usisahau na spare parts!
Nadhani Ni Paraguay au Uruguay ILA Ninachotambua Ni Rais Asiyependa Utajiri Wala Ufahari Na Anaishi Maisha Ya Kawaida Na Ya Chini Sana. Nadhani Ni Hizo Nchi Mbili Tajwa Hapo au Nchi Za Far East. Naikumbuka Sana Hiyo Sura Kuwahi Kuiona Ktk Media.
Sijawahi kusikia kama alikuja Tanzania au Rais wetu alienda huko kwa ziara za Kiserikali au kikazi.
ningependa anayechukua nafasi yake awe kama yeye...asiyependa makuu wala mfuja mali ya umma!
Mkuu navyojua ukitaja far east unajumuisha China.
............. usafiri wake ukoje
ningependa anayechukua nafasi yake awe kama yeye...asiyependa makuu wala mfuja mali ya umma!
Nadhani Ni Paraguay au Uruguay ILA Ninachotambua Ni Rais Asiyependa Utajiri Wala Ufahari Na Anaishi Maisha Ya Kawaida Na Ya Chini Sana. Nadhani Ni Hizo Nchi Mbili Tajwa Hapo au Nchi Za Far East. Naikumbuka Sana Hiyo Sura Kuwahi Kuiona Ktk Media.
Ni Uruguay na Uruguay haipo Far East.