Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Kama yule mwenyekiti wa upinzani aliyemkatisha hawara yake safari ya kibunge akaenda nae kufuja mali Dubai.
Na yule anayezalisha wahudumu wa dodoma hotel na kulelewa na kodi zetu je?
Kama yule mwenyekiti wa upinzani aliyemkatisha hawara yake safari ya kibunge akaenda nae kufuja mali Dubai.
Na yule anayezalisha wahudumu wa dodoma hotel na kulelewa na kodi zetu je?
Uwe Unasoma Vizuri Uzi Wangu Na Kuelewa Kwani Sitaki Nikudharau Na Wewe Halafu Uanze Kuchukia. Nimesema Vizuri Tu Kuwa Anatoka Ktk Hizo Nchi Mbili Tajwa Hapo au Narudia Tena au Nchi Za Far East. Sasa Ni Wapi Nimesema Uruguay Na Paraguay Zipo Far East? au Unataka Tu Kuchukua Points ( Kupata KIKI ) Kwangu?
Sijaelewa Umeandika Nini. Hariri Upya Ulichokiandika!
Rais Masikini kama huyo atakuja na mbinu gani za kuwasaidia watu kuondokana na umasikini?
He is not inspirational.
Kubali ukikosolewa, usiwe mbishi umekosea tu
Kajisome ulichoandika mwanzo utanielewa tu.
Jamaa anaongeaga matope sana kila sehemu. Binafsi hua nikiona tu ni yeye mie napita.
Kilinganishe Na Kile Ulichoniandikia Wewe Je Kina Shabihiana? Mimi Nilitaja Uruguay Na Uruguay Kama Ulivyoniandikia Wewe? Na kuhusiana Na Kutaja Kwangu Far East Sidhani Kama Nilikuwa Nazilinganisha Hizo Nchi Na Sina Ujinga au Upumbavu Huo Wa Kutokujua Wapi Zilipo Uruguay Na Paraguay Na Far East Kuna Nchi Gani Na
Nilishalielezea Hili Vizuri Kwa Mtu Hapo Juu Na Nashangaa Bado Mnalishikilia Sasa Sijui Mnataka Nini.
Kumbe alishaondoka madarakani? Kwa jinsi life style yake nilijua ndio ticket ya kuendelea kwa muhula mwingine zaidi maana hakuwa na maisha ya kiRais, imekuaje Wananchi wa Uruguay wakaamua kumpiga chini au ni umri ulimtupa mkono?
Atakaye si ni pamoja na huyo aliyekuwa the president
Umesema nani atakae maisha ya kimasikini...nami nasema mbona wapo ikiwa ni pamoja na huyo president wa uruguay...bado kuna watu tusiopenda kujilimbikizia mali
Huyo ni raisi wa Uruguay, raisi anayependwa na maskini kuliko wote duniani, pamoja na kwamba nchi yake ina uchumi bora, hata hio sio nyumba yake, ni ya mkewe! Anatumia ka Beetle!
Huyu ndie ajuae maana ya kuwa kiongozi, na huyu kweli alikuwa chaguo la Mungu..