sasa kama unazijua zilipo hizo nchi sasa far east umeiandika ya nn? Ww lazma utakuwa zao la Mulugo
Uruguay
Sasa mkuu ulipozitaja hizo nchi haukuwa na uhakika kwamba huyo ni rais wa nchi ipi hasa.... Then akaja mchangiaji mwingine akakutajia kwa uhakika kwamba huyo mheshimiwa ni rais wa Uruguay... Sasa kulikuwa kuna sababu gani ya kumshambulia ili tu aonekane yeye hajui ila weye ndo wajua?? hakukuwa na sababu ya kumsuta hivyo Kama wewe kweli ni muungwanaKilinganishe Na Kile Ulichoniandikia Wewe Je Kina Shabihiana? Mimi Nilitaja Uruguay Na Uruguay Kama Ulivyoniandikia Wewe? Na kuhusiana Na Kutaja Kwangu Far East Sidhani Kama Nilikuwa Nazilinganisha Hizo Nchi Na Sina Ujinga au Upumbavu Huo Wa Kutokujua Wapi Zilipo Uruguay Na Paraguay Na Far East Kuna Nchi Gani Na Nilishalielezea Hili Vizuri Kwa Mtu Hapo Juu Na Nashangaa Bado Mnalishikilia Sasa Sijui Mnataka Nini.