Uwe Unasoma Vizuri Uzi Wangu Na Kuelewa Kwani Sitaki Nikudharau Na Wewe Halafu Uanze Kuchukia. Nimesema Vizuri Tu Kuwa Anatoka Ktk Hizo Nchi Mbili Tajwa Hapo au Narudia Tena au Nchi Za Far East. Sasa Ni Wapi Nimesema Uruguay Na Paraguay Zipo Far East? au Unataka Tu Kuchukua Points ( Kupata KIKI ) Kwangu?
Sijaelewa Umeandika Nini. Hariri Upya Ulichokiandika!
Huyo simjui mie namjuwa mwengine kapora mke wa mtu kamjengea, kwa fedha zetu za kodi alizokopa saccos ya Ufipa, jumba la kifahari huko mabwepande lakini jimama halitosheki kwa nyumba tu linahamu na unyumba, juzi likamwingiza the body guard kwenye majaribu, matokeo unayajuwa.
Kilinganishe Na Kile Ulichoniandikia Wewe Je Kina Shabihiana? Mimi Nilitaja Uruguay Na Uruguay Kama Ulivyoniandikia Wewe? Na kuhusiana Na Kutaja Kwangu Far East Sidhani Kama Nilikuwa Nazilinganisha Hizo Nchi Na Sina Ujinga au Upumbavu Huo Wa Kutokujua Wapi Zilipo Uruguay Na Paraguay Na Far East Kuna Nchi Gani Na Nilishalielezea Hili Vizuri Kwa Mtu Hapo Juu Na Nashangaa Bado Mnalishikilia Sasa Sijui Mnataka Nini.
Ni kweli 'au' sikuiona! Samahani mheshimiwa!!
Sijawahi kusikia kama alikuja Tanzania au Rais wetu alienda huko kwa ziara za Kiserikali au kikazi.
Uwe Unasoma Vizuri Uzi Wangu Na Kuelewa Kwani Sitaki Nikudharau Na Wewe Halafu Uanze Kuchukia. Nimesema Vizuri Tu Kuwa Anatoka Ktk Hizo Nchi Mbili Tajwa Hapo au Narudia Tena au Nchi Za Far East. Sasa Ni Wapi Nimesema Uruguay Na Paraguay Zipo Far East? au Unataka Tu Kuchukua Points ( Kupata KIKI ) Kwangu?
Baba MwanaAsha anakwenda nchi ambazo anaweza kutembeza bakuli sasa huko kwa Mujica angeambulia nini? Mujica angemshauri ahalalishe uuzaji wa ganja kama alikuwa na shida ya forex!!!
Hilo nalo neno, hata Mbowe akihutubia huwa zinatembezwa bakuli na ganja haiachwi kuuzwa pale kwenye biashara yake Bilicanas.
Na akija huja na mashangingi yanaongozana. Umesahau?
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Nilijua ni watandale,ahsante hahahaaqaUruguay
Hizo nchi haziko Far East, ziko Latin America.