Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,328
- 11,463
Habari za wakati huu wana JF wote. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Shukhrani za dhati ziwafikie nyote mlioniombea katika safari yangu nzima ya maradhi. Kwa sasa naendelea vizuri tu na kamwili kanarejea upya
Wengi wenu mlifikiri huenda The Storyteller wenu ni jibaba bonge bonge hivi lenye mashavu yaliyotuta, jeusi ti lenye kuvaa miwani myeupe, mabwanga na mashati mapana ya draft yenye vifungo.
Jibaba linalovalia mikanda minene ya ngozi ya mamba, kwenye luksi nikining'iniza funguo ya mjengo huku kidoleni nikinin'giniza funguo ya Vogi. Jibaba lenye sauti nzito na meno yenye rangi ya kahawia huku lips za mdomo wangu zikiambwa kwa usugu wa matumizi ya tumbaku.
Huo muonekano niliupata baada ya kuunganisha mawazo ya wanawake wawili mashuhuri, members wa humu katika harakati za tongoza tongoza
====================
Huyu ndiye The Storyteller wa JF a.k.a Wamatukio, izobiz, man biznes, karan lutha na mengineyo mengi.
Nipende kutoa shukhrani zangu za dhati kwenye shirika linalojihusisha na suala zima la utengenezaji wa picha kwa kutumia akili bandia (Artificial Intelligence), kwa kweli wamejua kuutengeneza uhalisia wangu although nilijielezea vya kutosha
Bado ni kijana mdogo sana mpambanaji ingawa ninateswa sana na mapenzi. Sitaki kujieleza sana msije kusema ninajipamba. Sio mtu wa kujionesha, sio mtu wa masuti suti ingawa pesa za kunywea ziko kwa mfuko
N.B: Photo by Artificial Intelligence
Kwa sasa afya yangu inaendelea kutengamaa
Uliza Chochote Utajibiwa...