Picha: Huyu ndiye Melki the Storyteller

Picha: Huyu ndiye Melki the Storyteller

Bonge la jemba kama Bonobo likajifanya Roselyn.
Sijui Kama wandewa hawakukutumia Uboo kweli.
 
Nimefurahi kukufaham mkuu na leo ndo nimejua Waafrika waliozaliwa weupe kumbe ni kwasababu rangi nyeusi iliishia kwako?
 
Sio kwamba nakosa ka 16m ka kununua kigari cha kimaskini i.e Kijora. Ni kwa vile tu napendelea ule mbanano wa kwenye magari mabovu ya Mbagala rangi tatu

Zile raha naziachaje? Hasa hasa kwenye mabonde huku Mwajuma Nchokonole akiwa mbele yangu!!?
Kumbe na wewe ni moja kati ya madungadunga mkuu [emoji3]
 
Kumbe na wewe ni moja kati ya madungadunga mkuu [emoji3]
Haaapaaana! Ni kwa vile tu mimi huwa na bahati ya kususiwa mtrako pale niliposimama. Huwa nashangaa tu mzigo huu hapa. Nashindwa cha kufanya, naona tu wacha niegeshe dibolo tu walau lifanye zoezi. Si unajua tena mazoezi hujenga mwili?😄😄
 
1. Nini faida za mwenge wa uhuru?
2. Nini ambacho Kenya na Rwanda wanakikosa kwa kutokimbiza mwenge?
3. Kama mwenge unaleta amani, kwanini tulipovamiwa na NDULI IDD AMIN tulipeleka jeshi na hatukuupeleka mwenge ili utupatie ardhi tuliyovamiwa kwa amani bila kumwaga damu?
Dah! Mkuu, mimi nilispecify kwenye Chemistry na Biology. Haya mambo ya siasa simo kabisaa. Hata habari za kuuzwa kwa wana Dar es salaam ndo nimezipata jana usiku. Lakini kwa sasa, hata hiyo Chem na Bio haipo tena kwa kichwa maake haikunisaidia chochote kitu

Mi niulize kuhusu michongo ya maisha, watoto wazuri n.k
 
Bonge la jemba kama Bonobo likajifanya Roselyn.
Sijui Kama wandewa hawakukutumia Uboo kweli.
😄😄😄Hapana mkuu. Hakuna kitu ambacho ninakilinda kwa akili yangu yote, kwa moyo wangu wote na kwa nguvu zangu zote kama ndogo

Mara mia nipoteze uboo kuliko kupoteza ndogo. Ndogo ni tunu, ndogo ni ngekewa

Tutunze ndogo zetu hasa sisi wanaume
 
Haaapaaana! Ni kwa vile tu mimi huwa na bahati ya kususiwa mtrako pale niliposimama. Huwa nashangaa tu mzigo huu hapa. Nashindwa cha kufanya, naona tu wacha niegeshe dibolo tu walau lifanye zoezi. Si unajua tena mazoezi hujenga mwili?[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119] daah et bahati
 
Back
Top Bottom