Picha: Hili tunda linaitwaje, je linaliwa?

Picha: Hili tunda linaitwaje, je linaliwa?

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,171
Wakuu nani anafahamu tunda huli, jamii ya passion ila ngozi yake ina miba miba.
Mwenye uelewa tafadhali, isije kuwa na sumu
20190905_094331.jpeg
 
sis kwetu huwa hatuli ila ngedere huwa wanayala kwa maana hio sio sumu kwani ingekuwa sumu ngedere wsingekuwa wanayala
 
Ndio umeweka huku jukwaa la siasa kuhusu hilo tunda?????
 
mpe nyani a test asipokufa kula ndio hivyo wazee wetu walivyotest embe mapera mapapai na miwa na matunda mengine
 
naona unatest maisha kwa thread za Jamiiforums..haya baba we sikiliza humu uonje tukuzike
 
Mi nimetupia tu bila kuweka mbwembe za jukwaa gani, hata kwenye mapenzi mi natupia tu, mods watajijua wenyewe waweke wapi, sio kazi yangu kupamba jukwaa. Mvona thread zote za popote tunaziona.
Kwani kitanda lazima kikae ukutani?
Ndio umeweka huku jukwaa la siasa kuhusu hilo tunda?????
 
Ndio umeweka huku jukwaa la siasa kuhusu hilo tunda?????
Mi nimetupia tu bila kuweka mbwembe za jukwaa gani, hata kwenye mapenzi mi natupia tu, mods watajijua wenyewe waweke wapi, sio kazi yangu kupamba jukwaa. Mvona thread zote za popote tunaziona.
Kwani kitanda lazima kikae ukutani?
Naona mods walivyogundua akili zako, wameiweka thread yako jukwaa la picha.
 
ha ha ha ha ha indongomilo ndio tunaita kwetu hivyo huwa wanakula nyani na ndege
vip nawewe umekula nini?😀😀😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kikwetu huitwa magagambo hupendelea sana kuyala wanafunzi ubao unapokuwa high way
 
Back
Top Bottom