Picha hii inatia uchungu na hasira kwa serikali

attachment.php


Mbona anafanana na Bi Kiroboto wa kwenye kipindi cha Daladala asije akawa anaigiza
 
haki haiombwi serikali inalazimika kulipa madaktari na si vinginevyo wkt umefika kwa wtz kusimama imara na kuipinga serikali kwny mambo yanaloligusa taifa

ccm inabidi ikae pembeni. Nchi imewashinda. Wanakalia kuiba tu mali za taifa.
 
miaka 50 ya uhuru kidumu chama cha mapinduziiiii zidumu fikra za mwenyekiti wa chama.
 
Back
Top Bottom