Picha hii ina maana gani?

Picha hii ina maana gani?

Jamaa kaambiwa achague moja
1.Achukue mkate ale, Au
2.Chukua fungo utoke kifungoni.

Kutokana na mahitahi ya wakati ule, kaona shibe ni bora kuliko funguo.

"It is just a matter of priority"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la mfungwa ni kuoata kitu Cha kufeed tumbo lake sio kuwa huru picha hii inaakisi maisha ya lock down Sanaa Safi Sana
 
Huyo jamaa ni mpiga kura wa Tz hajui namna ya kujiongeza na kuwa huru ili hali mazingira yapo wazi kabisa.
 
Chukua funguo utoke kifungoni utakula mikate mingi zaidi.

Binafsi nawaza kama alipewa option moja tu, yaan chagua funguo au mkate. Kwa kuwa kwa wakati huo alikuwa na njaa kali kilichokuwa sahihi kwake ni mkate. Kwa hili tunaona kama jamaa kakosea wakati wengi tupo hivyo tu Ccm ni huo mkate

Na hicho kijiti ni kama sanduku la kupigia kura, na hivyo viraka vinaashiria kuwa huyu mpiga kura ni masikini na mwenye njaa kali ambaye yupo tayari kushibisha tumbole kwa kupewa mkate badala ya kutumia haki yake ya msingi ya kupiga kura (ufunguo) na kuwa huru.
 
Aiseee... Nazidi kupata tafsiri ambazo hata mwanzo sikuzifikiria kabisa!
 
.
FB_IMG_15918718110569346.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom