Picha hii ina maana gani?

Picha hii ina maana gani?

Tujadili na hii mkuu
JamiiForums1858942893.jpg

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hahahah hebu fafanua kidogo mzee Farolito
Umepata nafasi ya kuwatumikia wananchi kwa kuaminiwa ili uwafungue fikra pamoja na kuisimamia serikali iboreshe maisha halafu kwa ''njaa''unaamua Kuunga juhudi.

Cha kushangaza jimbo unagombea hilohilo na watu unaowaomba kura ni haohao na kazi unayoenda kuifanya ni ileile ya kuisimamia serikali ileile tena safari hii ukiwa huna Uhuru hata wa kukosoa.

Sasa kama lengo ilikuwa kuwatumikia wananchi kwanini uhame chama halafu uwarudie wananchi walewale kuwaomba ubunge ambao tayari walishakupa tena kwa gharama ya mabilioni ya uchaguzi ambayo yangetumika kuboresha maisha yao.

Ndio sawa na huyo bwana hapo anaona bora aendelee kula chakula cha kupangiwa akiwa hana Uhuru badala ya kufungua mlango akale apendavyo akiwa na Uhuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nimekusoma mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom