Picha hii ina maana gani?

Superfly

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
965
1,966
Tuijadili wakuu.
IMG-20200616-WA0014.jpeg
 
Inamaana umaskini wa fikra ama ujinga ama u zero brain siku zote utaendelea kukufanya uwepo hapohapo ulipo kwa kushindwa kung'amua upi ni usahihi zaidi..

Hii pia inatoa tafsiri kuwa ni heri kuwa huru kuliko kuwa mfungwa huku ukichaguliwa cha kula badala ya kuwa huru ukijichagulia chakula!..

Tafsiri nyengine ni kuwa ni umaskini wa fikra na tamaa ya Mali ni janga linaloziba mafanikio yako,hivyo kuwa kama kaburi unalojichimbia mwenyewe na kujizika bila kujua..

Leta picha nyengine hii nyepesi sana nitaionea..😜😂😅
 
Mbona rahisi tu, Ipo hivi kuna watu wanaendelea kubakia kwenye vifungo vya ugumu wa Maisha kwa sababu ya kuweka mbele sana Matumbo yao ambayo ni changamoto ya muda bila kushughulikia Changamoto Kubwa ya Maisha ambayo ni Elimu na Afya Njema.
Sasa napata maana kamili aisee
 
Inamaana umaskini wa fikra ama ujinga ama u zero brain siku zote utaendelea kukufanya uwepo hapohapo ulipo kwa kushindwa kung'amua upi ni usahihi zaidi..

Hii pia inatoa tafsiri kuwa ni heri kuwa huru kuliko kuwa mfungwa huku ukichaguliwa cha kula badala ya kuwa huru ukijichagulia chakula!..

Tafsiri nyengine ni kuwa ni umaskini wa fikra na tamaa ya Mali ni janga linaloziba mafanikio yako,hivyo kuwa kama kaburi unalojichimbia mwenyewe na kujizika bila kujua..

Leta picha nyengine hii nyepesi sana nitaionea..😜😂😅
Kumbe ukituliaga hua unatoa madini hivyo😁
Hii inaapply pale baba wa taifa alivyosema kuhusu Ujinga, Umaskini na Maradhi. Hakika aliona mbali, na kwa hali hyo maendeleo mtu atayasikia redioni.
 
Huo ni upande wangu mwengine wa shilingi mama sipendagi tu kuuonyesha... Mbona kutafsiri picha humu nilishawahi shinda buku kumi! Hii chamtoto!..

Wacha niendelee na upande huu wa ukorofi mama ili na Ban zinihusudu..😜😅
 
Hahahaa uwe unaplay kotekote bana ndo vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom