angalia hapaZipae kwani ni ndege??? Apart forom vile vigari za mashindano vinaruka juu kwenye miinuko na kushuka chini sijawahi hizo gari za kupaa. Hebu niambie ndio zipi nitoe ushamba
angalia hapa
hayo labda uende chato ndo utayaonaI thought harrier iko juu,au Tiguan inakata mawingu. Kumbe vidude dude vya ajabu kama hivo.
Mi i'm speaking about magari haya haya kina passo,volks wagen.
Magari kupaa my[emoji188]hayo labda uende chato ndo utayaona
[emoji2] [emoji2]Yule aliyewadharau wanokwenda na passo kwa wakwe sijui akiliona hili atasemaje
Magari kupaa my[emoji188]