father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 835
- 642
Jamani.... Habari zitatungwa sana this time!
Wamemuwekea na feni???
pamoja kamanda.....
je na hii inatuhusu?
wote ni njia yetu hii
mbona kwa chini kuna vitu kama mashimo? Ni kwa ajili ya nini?
Hebu tupe tafsiri safi unayoijuwa wewe ya hili neno Burial Ceremony.........maana unaleta porojo nyingi unadhani wote hapa ni wanasiasa?Kuwepo Disco ndio kusherehekea kifo? I mean unafurahia mtu kufa?
Mkuu nilimsikia mida ya saa nne na nusu asubuhi acha nicheke kumbe mkuu na wewe umeinyaka!Kibonde katoa kali(Kasema sasa mkuu wa sherehe baada ya kusema mkuu wa shughuli ya leo)
wamemuwekea na feni???
Hapana tanesco wamesema wameishiwa mita za luku.Wamemuwekea na feni???
wee mwanamke vipi................kama haikuhusu hicho kiherehere cha kujibu wa kwanza umekitoa wapi?....
Rip the great