PICHA: Heshima za mwisho na mazishi ya Kanumba!

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
attachment.php

Watu ni wengi sana.....jua ni kali lakini hakuna anayelijali....

attachment.php


Jeneza la mpendwa wetu......

attachment.php

Waombolezaji wakizidi kusogea eneo la msiba.....

DSC_0095%5B2%5D.JPG

Sugu akitoa salaam

DSC_0043%5B1%5D.JPG

DSC_0083%5B2%5D.JPG

DSC_0061%5B1%5D.JPG

DSC_0054%5B1%5D.JPG

DSC_0058%5B1%5D.JPG

DSC_0059%5B1%5D.JPG


AqHoUB2CEAI6aLY.jpg

AqHuQp9CEAALjuk.jpg


AqHo1X-CIAAW8dz.jpg

Umati wa watu makaburini

AqG76UqCAAADOVI.jpg

Hali ilivyokuwa baada ya jeneza la marehemu Kanumba kuondoelwa viwanja vya Leaders
 

Attachments

  • nyomi-kanumba.jpg
    nyomi-kanumba.jpg
    88.7 KB · Views: 17,936
  • jeneza-kanumba.jpg
    jeneza-kanumba.jpg
    96.9 KB · Views: 17,924
  • kazimia.jpg
    kazimia.jpg
    68.5 KB · Views: 1,203
  • wanaenda-kanumba.jpg
    wanaenda-kanumba.jpg
    68.8 KB · Views: 17,393
  • waangukaji1.jpg
    waangukaji1.jpg
    75.1 KB · Views: 1,077
rip steve kanumba-sharobaro,bwana ametoa,bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe!!tutakukumbuka!!!!
 
Kibonde katoa kali(Kasema sasa mkuu wa sherehe baada ya kusema mkuu wa shughuli ya leo)
Ni makosa makubwa sana kumuweka kichaa (Kibonde) kuwa MC katika shugulu kama hii. Ndo matatizo ya Radio na Tv ya wafu wamebinafsisha hii shuguli na kuwa ya kwao. Ingekuwa mamtoni familia ingeuza hii haki na kujipoza na machungu ya msiba.
 
lakini huyu jamaa si ana kesi ya kujibu manake alikuwa anafanya mapenzi na minors??huyo demu tunasikia alikuwa under 17 sasa inakuwaje hapo mbona mnapa promo za kipumbavu mwasherati kama yule
 
lakini huyu jamaa si ana kesi ya kujibu manake alikuwa anafanya mapenzi na minors??huyo demu tunasikia alikuwa under 17 sasa inakuwaje hapo mbona mnapa promo za kipumbavu mwasherati kama yule

Unaposikia mwanadamu amemchinja mwanadamu mwenzake...usishangae ni watu kama hawa..
 
Sasa CCM na Serikali yake wakitaka kujuwa tatizo la ajira lilivyoiathiri nchi hii waangalie hayo maudhurio ya msiba wa Kanumba na leo ni siku ya kazi.
Hivi nguvu kazi hii yote kweli ilipaswa kuwepo hapo kweli? Nina uhakika hapo nusu ni waombolezaji wa kweli na nusu ni wale hata zikipita mbio za mwenge nao huunga tela.
 
Back
Top Bottom